Tulimsingizia na kumhukumu Hayati Magufuli juu ya utekaji, Je leo tutamsingizia nani? Magufuli hayupo

Hayati Magufuli aliumia na akatoa pole lakini bado Chadema walipita huku na kule kusema Magufuli anahusika na kupigwa risasi Tundu Lissu
 

Attachments

  • IMG-20240908-WA0531.jpg
    168.2 KB · Views: 2
Ni swala la CCM kuanzia Nyerere...ila wanaomsema Mbowe wasibezwe maana sio malaika
 
Mheshimiwa Magufuli amesingiziwa kwa mengi sana kwa kweli...tulidhani hii serikali ni ya malaika kumbe ni mashetani asee?
 
Huenda ikawa makamu wa kipindi chake ndiyo alikuwa inaisuka mipango hiyo miovu.maana Hadi Sasa inaendelea na aliyesingiziwa alishafariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…