Tulimsingizia na kumhukumu Hayati Magufuli juu ya utekaji, Je leo tutamsingizia nani? Magufuli hayupo

Smart ipi mkuu?
 
Unachowaza wewe ni uchaguzi tu. Madaraka ya damu.
 
Wafuasi wake wapo, na wengine wamerudishwa serikalini ndiyo matukio ya utekaji yameongezeka.
Kwamba serikali yenyewe haina watu maalumu wa kufanya kazi ya kuteka au kuuwa ikiwa imeona ulazima wa kufanya hivyo kiasi kwamba hadi waje wafuasi ndio wafanye kazi hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…