Tulimsingizia na kumhukumu Hayati Magufuli juu ya utekaji, Je leo tutamsingizia nani? Magufuli hayupo

Tulimsingizia na kumhukumu Hayati Magufuli juu ya utekaji, Je leo tutamsingizia nani? Magufuli hayupo

haha! ilipofeli hii nchi ni kuachia wenye nguvu kiuchumi kuwa na mamlaka yakufanya jambo!,kuna watu wamejificha kuchafua wanaoonekana kwa masirahi yao wenyewe vile wanavyotaka na sio kwamba hawajuani wanajuana lkn ni mfuko upo kwenye mfuko!.. it's like matrix!.

nashangaa sana wanaosema rais kuhusika na matukio haya moja kwa moja nachojua rais akimtaka mtu huwa ni chap na in a smart way!.
hawa wacheza ngoma ndo wanajipigia hutu tu singeli twao kuchafua mavazi..

hakuna serikali ikakosa changamoto,sasa sisi wananchi tunachotakiwa ni kupiga kelele serikali ifanyie kazi haya machangamoto haijalishi inakwaruana na nani!.
Smart ipi mkuu?
 
1. Kuna uwezekano ilifanyika kuonesha JPM ndo alikuwa mbaya ili kupata uungwaji mkono dhidi ya upinzani na mahasimu wa JPM kwenye chama kwa wakati huo
2. Sasa inawezekana reverse is true. Mahasimu wa Her Excellence ndani ya chama wameungana na wapinzani kuonesha kutokuwa na uwezo wa kuwa comfort in chief Kwa kushindwa kidhibiti uhalifu nchini hata kama unafanywa na genge la wahuni wakitokea walikotokea
3. Mama anahitaji kupata washauri wazuri asije akavurugwa halafu wahuni waseme ameshindwa kazi, hafai kuendelea 2025
Unachowaza wewe ni uchaguzi tu. Madaraka ya damu.
 
Wafuasi wake wapo, na wengine wamerudishwa serikalini ndiyo matukio ya utekaji yameongezeka.
Kwamba serikali yenyewe haina watu maalumu wa kufanya kazi ya kuteka au kuuwa ikiwa imeona ulazima wa kufanya hivyo kiasi kwamba hadi waje wafuasi ndio wafanye kazi hiyo?
 
Msaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea tukasema Magufuli kamteka eti msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli,Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!?

Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Hii iliishia wapi?
20240909_043302.jpg
 
Back
Top Bottom