Tuliandika humu tukabezwa, kukejeliwa na kupuuzwa, ila leo yanatimia kwa watu kueleze aliyoyafanya na yaliyofanywa chini ya utawala wake.
Ukizui watu kusema ukiwa hai, watakusema ukishakufa.
Binadamu kamwe hawezi kosa la kukufanya hata kwa kukusema tu inatosha kunfanya aondoe dukuduku lake kama sio hasira na machungu.
Mnavuna mlichopanda.
Tuliwaaambia na tulimwambia maneno haya:
pascal Mayalla hiki ndio kitabu cha mheshimiwa ambacho Gazeti ulilolitaja wameanza tu kutoa summary ya kitabu hiki ingawa bado kinaendelea kuandikwa. Mkuu Salary Slip. Naomba unikumbushe, gazeti gani, nimelitaja wapi, na ni muechimiwa nani?. P