Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kwani wanaomsema ni CHADEMA? Mbona kuna wanCCM damudamu,na wasio wanachama wa cha chochote, bali wanaoipenda Tanzanzania, wanauzungumza sana uovu wa marehemu?Kwa upumbavu wenu mtaendelea kupambana na JPM Huku CCM inaendelea kupeta tu , mtashtuka chadema imekufa
USSR
Maovu ya marehemu, yasaidie kuchochea hamu ya kuwa na mfumo mzuri wa utawala unaozuia watu wasiofaa kuwa viongozi, ka alivyokuwa marehemu, kuwa viongozi. Na ikiyokea wakapenya kwenye uongozi, mifumo ya utawala iwe na uwezo wa kuadhibiti na hata kuwaadhibu.