Tulimtahadharisha Mwendazake akiwa hai hatukusikia yeye na wafuasi wake, hivyo leo wavumilie anaposemwa

Tulimtahadharisha Mwendazake akiwa hai hatukusikia yeye na wafuasi wake, hivyo leo wavumilie anaposemwa

Kwa upumbavu wenu mtaendelea kupambana na JPM Huku CCM inaendelea kupeta tu , mtashtuka chadema imekufa

USSR
Kwani wanaomsema ni CHADEMA? Mbona kuna wanCCM damudamu,na wasio wanachama wa cha chochote, bali wanaoipenda Tanzanzania, wanauzungumza sana uovu wa marehemu?

Maovu ya marehemu, yasaidie kuchochea hamu ya kuwa na mfumo mzuri wa utawala unaozuia watu wasiofaa kuwa viongozi, ka alivyokuwa marehemu, kuwa viongozi. Na ikiyokea wakapenya kwenye uongozi, mifumo ya utawala iwe na uwezo wa kuadhibiti na hata kuwaadhibu.
 
Tuliandika humu tukabezwa, kukejeliwa na kupuuzwa, ila leo yanatimia kwa watu kueleze aliyoyafanya na yaliyofanywa chini ya utawala wake.

Ukizui watu kusema ukiwa hai, watakusema ukishakufa.

Binadamu kamwe hawezi kosa la kukufanya hata kwa kukusema tu inatosha kunfanya aondoe dukuduku lake kama sio hasira na machungu.

Mnavuna mlichopanda.

Tuliwaaambia na tulimwambia maneno haya:

Mwendazake avune nini? He is the most successful president ukitoa J.K original. Maneno yenu tunajua yatafia wapi. Mnaendelea kushughulikiwa huku bado mnamuota JPM. Wakili aliyetekwa juzi katekwa na JPM? Don't waste your time little boy ....
 
Most successful kwa lipi? Kwa kukopa na kuelekeza karibu fedha zote kwenye miundombinu?
 
Back
Top Bottom