Tulio badilisha majina baada ya kufika mjini tujuane hapa

Tulio badilisha majina baada ya kufika mjini tujuane hapa

Ili awe na jina la kimjinimjini nakumbuka mwaka 99 kuna jamaa alihamia mkwajuni toka kwao Kondoa alikuwa anajiita Salim kumbe jina lake anaitwa Wasiwasi
Ha haaa,ila Kuna majina mengine nayo ni changamoto sana japo mi nikigundua mtu kabadili jina namuona kama sio muaminifu
 
Nilikuwa natumia jina la asili kbsa ngumu kutamaka ila nilivyo timba jiji la dsm at first warembo wakanibatiza deo ....
 
Makiwendo kwani we la bush unaitwa nani[emoji3][emoji3]

Ila nyie watani zangu nawaaminia...
Utasikia 'Jillian John Joseph Shayo' [emoji3][emoji3]

Bila hiyo Shayo unaweza dhani ni Muingereza wa Leicester [emoji3][emoji3]
 
Bebe, mbona kama jina la dawa za mitishamba...[emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi na wajina tunamshukuru Mungu wazazi hawakutupa majina ya mitishamba.
Vinginevyo hata mimi ningebadili.
 
Nilikuwa natumia jina la asili kbsa ngumu kutamaka ila nilivyo timba jiji la dsm at first warembo wakanibatiza deo ....
🤣🤣🤣 ndio maana wasema sio kila Ali ni ustaaz hata Alinanuswe ni Ali pia.
 
Bado nipo huku Sweken ndani ndani,nikija huko mjini nitachangia uzi.
 
Makiwendo kwani we la bush unaitwa nani[emoji3][emoji3]

Ila nyie watani zangu nawaaminia...
Utasikia 'Jillian John Joseph Shayo' [emoji3][emoji3]

Bila hiyo Shayo unaweza dhani ni Muingereza wa Leicester [emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa Shayo kaingiaje hapo Surely!!!!

Mimi Mgombani nina jina langu zuri sana..Nalipenda...
Bibi yangu Mzaa Mama alinipa wakati nazaliwa....

Linaitwa...."Mcha....sa"...Wale mnaonijua kule Mgombani msini'quote naomba[emoji28]
 
Back
Top Bottom