Tulio badilisha majina baada ya kufika mjini tujuane hapa

Tulio badilisha majina baada ya kufika mjini tujuane hapa

Halafu sielewagi maana ya huu mchezo,hata wadada na wakaka wa kazi wakifikaga mjini lazima wanabadili jina sielewi lengo haswa ni Nini?

Wadada wanaanza kujiita Dee, Lee, Momo, Vee, Tee[emoji23]
Huko mjini Instagrams unakuta wanaanzia na official Vee[emoji38]
 
Wadada wanaanza kujiita Dee, Lee, Momo, Vee, Tee[emoji23]
Huko mjini Instagrams unakuta wanaanzia na official Vee[emoji38]
Mwenzagu 😄😄😄😄
Mara wajiite K,kumbe kashinde,Kalunde,ilimradi tuvisavisa tu
 
Back
Top Bottom