Ha haaa,ila Kuna majina mengine nayo ni changamoto sana japo mi nikigundua mtu kabadili jina namuona kama sio muaminifuIli awe na jina la kimjinimjini nakumbuka mwaka 99 kuna jamaa alihamia mkwajuni toka kwao Kondoa alikuwa anajiita Salim kumbe jina lake anaitwa Wasiwasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waha ndo wakifika mjini lazima wabadili majina.
Kitamkuta kituMai frendi.......
Yu wili faindi wat yua luukingi fo.....😜
Maana mie friji langu haligandishi aiseeee...... GENTAMYCINE
La bush ni ERoni 😀La mjini tunakujua ni Elli
Hebu tupe la bush
Bebe, mbona kama jina la dawa za mitishamba...😳Mjini St Anne
Bush sasa Atupeligwe Anyosisye Ndimbumi
😂😂😂Kijijini kwetu naitwa likotopwike mjini makaveli.
hahaha gemu chenja mzee wa karisimatiki felaKijijini Matako Makubwa mjini Gentamycline
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bebe, mbona kama jina la dawa za mitishamba...[emoji15]
[emoji1787]La bush ni ERoni [emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kipumbu Bin Kiboro ila sasa naitwa Kips Kibs.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Makiwendo kwani we la bush unaitwa nani[emoji3][emoji3]
Ila nyie watani zangu nawaaminia...
Utasikia 'Jillian John Joseph Shayo' [emoji3][emoji3]
Bila hiyo Shayo unaweza dhani ni Muingereza wa Leicester [emoji3][emoji3]