Kwanii au basiKijijini Matako Makubwa mjini Gentamycline
Stress za maisha zinachetua akili๐[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila watu wa JF[emoji114]Shida yenu huwa ni nini lakini?
Nakuona mtaalamu wa kula Ugali bila kunawaNipo hapa mtaalamu wa kula ugali bila mboga, mjini naitwa intelligent businessman๐ค
Mtaalamu wa kula mboga bila chumviNipo hapa mtaalamu wa kula ugali bila mboga, mjini naitwa intelligent businessman๐ค
Oya naona baada ya kumkosa Ms eyes ume amua kunipopoa๐๐คฃ๐Nakuona mtaalamu wa kula Ugali bila kunawa
Halafu sielewagi maana ya huu mchezo,hata wadada na wakaka wa kazi wakifikaga mjini lazima wanabadili jina sielewi lengo haswa ni Nini?
Juliana anaitwa JojoSikitu anaitwa Judy
Mwenzagu ๐๐๐๐Wadada wanaanza kujiita Dee, Lee, Momo, Vee, Tee[emoji23]
Huko mjini Instagrams unakuta wanaanzia na official Vee[emoji38]