Tulio na wake zaidi ya mmoja, tukutane tubadilishane uzoefu

Mke huwa anakuwa ni mmoja tu, wengine ni michepuko iliyowekwa wazi na kuhalalishwa. Kwa lugha nyepesi wasaidizi wa mke halali sanasana katika suala la ngono na burudani kwa mwanaume.

Ukitaka kuamini tutafsiri maana ya neno Mke/Ndoa.
 
Kwa ufupi sisi wenye wake wawili na kuendelea tuna akili sana kuzidi ambao wasio na wake zaidi ya mmoja, zingatia hapa ya kuwa ukiondoa wale wenye sababu za kisheria.
 
Yeyote ambaye yupo kwenye ndoa ni mke. Mchepuko ahusiani na ndoa kabisa. Msijitie ujinga usio kuwa na haja.

Mke wa pili ni mke na watatu ni mke na wanne ni mke kadhalika. Sababu kuwepo kwao ni matokeo ya ndoa.
 
Waarabu na watu wa pwani wanaweza kwa kutumia majini na madawa tu kuwathibithi wanawake, hata hivyo vijana wengi walioonywa wakashindwa au walioingizwa king na tamaa za wanawake hao ambao wameolewa kwa tamaa tuu, vijana wengi ama wamekuwa machizi, wagojwa wa kudumu ama wengine wamekufa kabisa kimizengwe, tunaoishi mikoa ya pwani tunalijua hili
 
Kwa ufupi sisi wenye wake wawili na kuendelea tuna akili sana kuzidi ambao wasio na wake zaidi ya mmoja, zingatia hapa ya kuwa ukiondoa wale wenye sababu za kisheria.

Tuna ujuzi wa kumanage wanawake na mihemko yao kuliko wale walio na mke mmoja. Inahitaji akili ndefu kumanage wanawake husuani wakiwa wengi.
 
Mbona mimi siyo chiZi na ninao wawili? Wengine wawili natarajia kuongeza ifikapo mwakani.
 
Yeyote ambaye yupo kwenye ndoa ni mke. Mchapuko ahusiani na ndoa kabisa. Msijitie ujinga usio kuwa na haja.

Mke wa pili ni mke na watu ni mke na wanne ni mke kadhalika. Sababu kuwepo kwao ni matokeo ya ndoa.
Ndoa ni nn mkuu? Tafsiri yake. Maana isije ikawa tunapishana tafsiri. Tukikubaliana kwenye tafsiri basi tunaweza kukubaliana au kutokukubaliana au kukubali kuwa kila mtu yupo sahihi kulingana na tafsiri yake.
 
Write your reply...Upendo haugawanyiki
huwezi kugawa hisia sawa kwa wanawake wengi hivyo upendo ni kwa mwanamke mmoja
 
Wanaume wengi tunataman sana kuwa na wake wawil tatzo n gharama za maisha kwasasa zmekuwa kubwa mno

Ila kulifanikisha hili nko nasaka mke wa pili mwenye matatizo ya uzazi ambae hawez kuzaa,ili nipunguze hz pasua kichwa za ada za mamilion za watoto
 
To be honest,
Nna MKE mmoja (mimi Ni mRoman Catholic) na michepuko wawili official.

Hawa michepuko wangu wawili wote ndugu wa familia moja, ila mmoja ndio mwizi wa mwezie.

Nafurahi coz wanawake wote watatu Nawamudu vizuri na maisha yanasonga kwa amani na upendo sana[emoji4]
 
To be honest,
Nna MKE mmoja na michepuko wawili.

Hawa michepuko wangu wawili wote ndugu wa familia moja, ila mmoja ndio mwizi wa mwezie.

Nafurahi coz wanawake wote watatu Nawamudu vizuri na maisha yanasonga kwa amani na upendo sana[emoji4]
Hawa michepuko wanajuana?
 
Wanaume wengi tunataman sana kuwa na wake wawil tatzo n gharama za maisha kwasasa zmekuwa kubwa mno

Ila kulifanikisha hili nko nasaka mke wa pili mwenye matatizo ya uzazi ambae hawez kuzaa,ili nipunguze hz pasua kichwa za ada za mamilion za watoto
Ukimpata mke mwenye career yake hatakusumbua kwa pesa za matumizi ila mwenyewe utatimiza majukumu unayomudu.

Kuna dingi alifanya hivyo, mke mdogo alijiweza kwa kila kitu na walijaliwa kupata watoto watatu. Mama aligundulika na cancer. Aliuguza kwa shida na watoto, alipofariki ilibidi amfahamishe mkewe kuwa anahitajika kulea watoto walofiwa na mama yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…