Tulio na wake zaidi ya mmoja, tukutane tubadilishane uzoefu

Wazungu ni washenzi sana...wametunyang'anya utamaduni wote.
Wake wawili raha jamani.
 
Unalea bomu la nuclear ndani, hili likilipuka hakuna fire extinguisher [emoji3462] itakayo uweza huu moto. Na kukiwaná majeruhi ni bahati.
Hawakai pamoja,
Dada mtu ndo Mchepuko wangu permanent, nmempangia mbali uko.

Mdg Ni mwanachuo, ila kapangisha chumba uraiani jiran na chuo.

Ila wote wako hapa hapa town[emoji4]
 
Nitaoa mke wa pili nikishampata mganga wa kunipa kinga ya. Ziada
 
Binafsi ninaye mmoja Ila mawazo yangu. Napenda niwe na mke mwanza tayari yupo,saivi nipo katavi nahitaji jiwe na mke huku Mana nawaza kumiliki ekari kadhaa like 500+, Arusha napenda mke wangu awepp,dodoma,morogoro,na dar na Tarime ,kigoma pia awepo. Wake wangapi hao pigeni hesabuni wenyewe.
Kuna mzee mmoja Ana wanawake 12 yaani Ana vijana chungu nzima.
Wakiamua kukusanyika kufanya Jambo wao wenyewe hawahitaji kampani yoyote Ile ujue.
Yaani napenda swaga za akina mswati na Suleiman na huyo mzee.
Binafsi napenda nimiliki wake kumi basi angalau kila mmoja minimum watt sita sita ,piga hesabu Nina madarasa mangapi.
Mie kazi yangu ni kuwaboost mama zao wanapambana.
Mfano hapa katavi Kuna nesi naongea naye kazi yangu ni kumfungulia duka la dawa basi nimemaliza anaikuza familia nayompa.
Yaani mpanda lazima niwe na mke niombeni jamani.
Afu nimesahau na Tabora.
Yaani napenda Sana
 
Bora nyie mna fursa hizo, sisi wakatoriki dini inatubana mno

Unaishia kuchepuka tu[emoji4]
 
Unaoa dini au mke? Katoliki maparoko wenyewe wanawashikisha ukuta watoto wenu wa kiume kila kukicha bado unapata ujasiri wa kuiamini?!
 
Tuna ujuzi wa kumanage wanawake na mihemko yao kuliko wale walio na mke mmoja. Inahitaji akili ndefu kumanage wanawake husuani wakiwa wengi.
Huwezi kumsimamia kama unavyo msimamia mchepuko. Yaani huwezi kumlinganisha mke na mchepuko.
 
Bora nyie mna fursa hizo, sisi wakatoriki dini inatubana mno

Unaishia kuchepuka tu[emoji4]
Mkuu usifungwe na tamaduni za magharibi ama za mashariki za Kati. Mie naishi ki afrika halisi.
So mie hapa nafuata tamaduni za kiafrika.
Mbona wazungu wao wanaachana ama kutalikiana kila kukicha. Dini Ina malengo yake Mana waliileta ili kutulainisha kutuibia tukiwa walaini
 
Huku ndo kujitambua. Hongera mkuu
 
Back
Top Bottom