Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Tuliza mzuka sasa watakusikia
Ila Mkuu wake watatu wote wa kazi gani...?? kuna ulazima gani wa kufuga wote...
Kwanini usichukue sample moja tu,,, zingine uendelee nazo chini ya maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza mzuka sasa watakusikia
Ila Mkuu wake watatu wote wa kazi gani...?? kuna ulazima gani wa kufuga wote...
Kwanini usichukue sample moja tu,,, zingine uendelee nazo chini ya maji
Naona nyie kikundi cha Wanaume wenye furaha zaidi duniani
Mmeamua kuanzisha uzi wenu.
Soon na mimi naweza kukaa chini Na mke wangu nikamwambia nina mpango wa kuwa na mke mdg japo sitamuoa kwa ndoa maana mi ni mkristo ila nitamtambulisha km mke mdg nakupa haki zote kama mke mdogo.
Mke mmoja ni uongo na ubatili,babu zetu hawakuwa wapumbavu km tunavyodhani na soon tutaelewa kuwa babu zetu walikuwa na busara kutuzidi sisi.
Note:Wadogo zangu oeni ili mjue kwanini mke mmoja hatoshi,ukiwa kwenye uchumba utaona anatosha na ata-act km anatosha Siku utakayo thubutu kuoa ndo utajua busara ya babu zako wazaa babu zako kwamba mke mmoja atoshi.
Nasapoti mada kwa kusoma comment kujifunza namna ya kudeal na wake wawili.
tulia cc tutapewa taarifaNa sisi wenye mume zaidi ya mmoja tinakutana wapi ndugu mwenyekiti?
Upendo haugawanyiki..sanasana utaishia kuumiza mmoja Kati ya hao wawili na nyongeza inayofuatia
Wake saba?
Naunga mkono hojaMkuu usifungwe na tamaduni za magharibi ama za mashariki za Kati. Mie naishi ki afrika halisi.
So mie hapa nafuata tamaduni za kiafrika.
Mbona wazungu wao wanaachana ama kutalikiana kila kukicha. Dini Ina malengo yake Mana waliileta ili kutulainisha kutuibia tukiwa walaini
Halafu kuoana wanaume ni haki, namie kuoa wake wengi ni Hali kwani navunja Sheria ganiNaunga mkono hoja
Ufungwe minyororo duniani bila kuifurahia dunia. Tuishi tunavyoona inafaa
Dunia haina siri brother endelea kulea kitoto cha simba ukidhani nyau! Yakikukuta uje utusimulie uwe shamba darasaHawakai pamoja,
Dada mtu ndo Mchepuko wangu permanent, nmempangia mbali uko.
Mdg Ni mwanachuo, ila kapangisha chumba uraiani jiran na chuo.
Ila wote wako hapa hapa town[emoji4]
Unatumia kinywaji gani mkuu? NikupongezeUzoefu wa nini mkuu. Mimi nina mke mmoja tu na watoto wanne. Anatosha. Najua kuutiisha mwili wangu aiendeshwi na tamaa za mwili mkuu
Kwa baba yako mmezaliwa wangapi?Binafsi ninaye mmoja Ila mawazo yangu. Napenda niwe na mke mwanza tayari yupo,saivi nipo katavi nahitaji jiwe na mke huku Mana nawaza kumiliki ekari kadhaa like 500+, Arusha napenda mke wangu awepp,dodoma,morogoro,na dar na Tarime ,kigoma pia awepo. Wake wangapi hao pigeni hesabuni wenyewe.
Kuna mzee mmoja Ana wanawake 12 yaani Ana vijana chungu nzima.
Wakiamua kukusanyika kufanya Jambo wao wenyewe hawahitaji kampani yoyote Ile ujue.
Yaani napenda swaga za akina mswati na Suleiman na huyo mzee.
Binafsi napenda nimiliki wake kumi basi angalau kila mmoja minimum watt sita sita ,piga hesabu Nina madarasa mangapi.
Mie kazi yangu ni kuwaboost mama zao wanapambana.
Mfano hapa katavi Kuna nesi naongea naye kazi yangu ni kumfungulia duka la dawa basi nimemaliza anaikuza familia nayompa.
Yaani mpanda lazima niwe na mke niombeni jamani.
Afu nimesahau na Tabora.
Yaani napenda Sana
Unataka kufanya ulinganifu. Jamani huyo alikuwa baba na nafsi yake mie simo kwake.idadi ni wengi mpaka nasahau kuhesabuKwa baba yako mmezaliwa wangapi?