Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
AiseeWaarabu na watu wa pwani wanaweza kwa kutumia majini na madawa tu kuwathibithi wanawake, hata hivyo vijana wengi walioonywa wakashindwa au walioingizwa king na tamaa za wanawake hao ambao wameolewa kwa tamaa tuu, vijana wengi ama wamekuwa machizi, wagojwa wa kudumu ama wengine wamekufa kabisa kimizengwe, tunaoishi mikoa ya pwani tunalijua hili
Hii ni kweli,nilishamsikia mtu 1 anasema wanatumia majini sbb kikawaida hivi haiwezekani kuwa na mke zaidi ya mmoja!halafu eti wale wanawake wakaelewana,hakuna kitu kama hicho!
Mungu mwenyewe ana wivu sembuse mwanadamu?!