Tulio na wake zaidi ya mmoja, tukutane tubadilishane uzoefu

Tuliza mzuka sasa watakusikia

Ila Mkuu wake watatu wote wa kazi gani...?? kuna ulazima gani wa kufuga wote...

Kwanini usichukue sample moja tu,,, zingine uendelee nazo chini ya maji
 
Ila Mkuu wake watatu wote wa kazi gani...?? kuna ulazima gani wa kufuga wote...

Kwanini usichukue sample moja tu,,, zingine uendelee nazo chini ya maji

Alafu hao wengine niwaache wakajiuze Ambiance?

Ninawamudu hawa kwa kipato wanakuwa wamejihakikishia na watoto wao, eneo la makaburi ya kuwazika na mimi huku ninakuwa na uhuru wa matobo bila kujificha.

Kidume nazungukia lindo zangu kwa raha zangu!
 

Mke mmoja ni pasua kichwa asikuambie mtu.
 
Nina wake saba, na wala siringi.
 
Upendo haugawanyiki..sanasana utaishia kuumiza mmoja Kati ya hao wawili na nyongeza inayofuatia

Hakuna usawa, kila mmoja anapata haki yake ila sio kweli kuwa zitakuwa sawa.
 
Kabla hajaoa hao wake wawili ,watatu na kuendelea hakikisheni

1. Hauna wivu wakijinga ndioo najua unajua wakat wa mambo ya zamu na nini utasaidiwa tuuu au mke mwingine dar wmingine dodoma tegemea tu kusaidiwa majukumu.

2.Kipato cha uhakika la sivyo cha moto utakiona.
3. Ujiweze kitandan sio upo upo tu halafu unawaza kuoa ndugu yangu utalia.
 
Siwezi kuoa wanawake wawili maana naonaga usumbufu kupigiwa pigiwa sim hovyo hovyo pia arguments zinakua azikauki Ni kuchosha akili tu .. Mimi ata madem nilazima niachane na mmoja ili niwe na mwengine ..sababu nashindwag ku pretend upendo..
 
Naunga mkono hoja
Ufungwe minyororo duniani bila kuifurahia dunia. Tuishi tunavyoona inafaa
 
Hawakai pamoja,
Dada mtu ndo Mchepuko wangu permanent, nmempangia mbali uko.

Mdg Ni mwanachuo, ila kapangisha chumba uraiani jiran na chuo.

Ila wote wako hapa hapa town[emoji4]
Dunia haina siri brother endelea kulea kitoto cha simba ukidhani nyau! Yakikukuta uje utusimulie uwe shamba darasa
 
Kwa baba yako mmezaliwa wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…