Tulio single tujuane

Hahahahahahahahaaaaa. Kwanza naomba kuuliza tunajua mahusiano ni nini na kwann unayataka hayo mahusiano?

Kuna muda inakubidi uende na flow lkn usisahau malengo na mahitaji yako ktk hayo mahusiano unayoyataka. Nasikitika tu kwamba kuna wengi wanayahitaji hayo mahisoano lkn hawajatambua sehemu yao ktk hayo mahusiano, yaan uhitaji wako ni lazima uwe na motives ya kwann uyapate.
 
kati ya hao watano hakuna hata mmoja anaeleweka kutulia na mimi kuwa demu wangu[emoji23] wananipiga tu vizinga
We mwenyewe hueleweki!😂😂😂ukikaa na mmoja missed calls za watu wannae tofauti ,sasa kifuatachao hapo ni vizinga tu
 
Teh teh teeeeeeh wee Nina bae wangu Mimi!lakini sio kesi Kama chama chenu kina nafasi Basi mwaweza nipa membership card

kuanzia sasa nakupa cheo ,wewe sasa ni makamu mwenyekiti kwenye chama cha WASITA(walio single Tanzania). [emoji23]hongera kwa kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia nafasi kubwa namna hii.yani wewe ni samia wetu[emoji28]
 
When singles remain single even after they realize that they are singles[emoji23][emoji23][emoji23]
 
When singles remain even after they realize that they are singles[emoji23][emoji23][emoji23]

hahahaha,the part of realizing that you are single is the most important part of our lives , you know many people think that they are in relationships but they are practically single
 
kuanzia sasa nakupa cheo ,wewe sasa ni makamu mwenyekiti kwenye chama cha WASITA(walio single Tanzania). [emoji23]hongera kwa kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia nafasi kubwa namna hii.yani wewe ni samia wetu[emoji28]
Kha!nimempindua Hadi linahbaby!wanachama watamaind
 
hahahaha,the part of realizing that you are single is the most important part of our lives , you know many people think that they are in relationships but they are practically single
The shit happens when the person you are dating takes you as aside chick while ur counting him as ur main wherever..hapo ujue shida tayari
 
The shit happens when the person you are dating takes you as aside chick while ur counting him as ur main wherever..hapo ujue shida tayari
Don't feel frustrated lady just look forward to start another relationship with a responsible man for instance I
Can I be part of the debate ![emoji4]
 
The shit happens when the person you are dating takes you as aside chick while ur counting him as ur main wherever..hapo ujue shida tayari

hahaha[emoji23] umeongea kwa uchungu sana, kama nakuona vile
sometime back nilikua na Girl fulani ninadate nae, siku moja aliniuliza hivi “kwani mimi na wewe ni wapenzi” ?

nikamuuliza kwani umeniacha ? akauliza “kwani tumewahi kuwa na mahusiano ? nilikaa kimya nikaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…