Msomaliii
Senior Member
- Jul 24, 2018
- 197
- 264
Hahahahahahahahaaaaa. Kwanza naomba kuuliza tunajua mahusiano ni nini na kwann unayataka hayo mahusiano?
Kuna muda inakubidi uende na flow lkn usisahau malengo na mahitaji yako ktk hayo mahusiano unayoyataka. Nasikitika tu kwamba kuna wengi wanayahitaji hayo mahisoano lkn hawajatambua sehemu yao ktk hayo mahusiano, yaan uhitaji wako ni lazima uwe na motives ya kwann uyapate.