Tulio single tujuane

Sema ukiwa chuo halafu upo single unaonekana mshamba sana... Anyway acha tu niwe mshamba.. zinaa na uasherati kamwe haukati kiu na tamaa za mwili
 
Hongera sana mkuu, chuo ni sehemu ngumu sana kuepuka ngono na starehe zake.
Kabisa yaani mkuu .wengine kejeli na vijembe kwamba naogopa wanawake na mambo kibao..lakini sawa hata kama nawaogopa pengine inachangia ila sijawahi kujutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…