Hahaa tufyatue tu album yetu kwakweli! Babe am ready [emoji8]
This is for my lady
financial services
You are my first, my last n everything in between..
Siwezi elezea jinsi navyokuzimia
Nikicheza na moyo wako, nahisi nacheza na wangu pia, Nafsi yangu ilishapotea, siwezi hata kujitetea
Ka ulitoroka peponi uzuri ulivyokuenea
Piga la kushoto ntageuza na la kulia
Wengine hawanijaribu wanajua kitakachotokea.
Sitaki mambo yaende kombo na yakienda yawahi kurudi. Hatuendi nayo, hatuwezi shindwa, yaje na mapambio ikibidi.
Tayari una nusu ya moyo wangu, na nusu iloyobaki kwangu, Yote nakupenda wewe, We ndio michelle obama wangu.
Sijui uliumbwa muda gani!? ni mzuri MashAlaah, ukicheka mwanya fulani, akinuna utashangaa
Muda wote natamani
Niwe nawe kila saa
Nikwambie jinsi gani
Kwenye giza we ni taa
Chuchu msumali, figure nane sio Saba
Hatari hatari wacha anipe case murder
Akinikiss ni asali yaani she’s so beautiful
[emoji446][emoji449][emoji448][emoji450][emoji447][emoji441][emoji443]