Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Hivi Kwanini lazima ishu iwe Ni pesa tu kwenye Mapenzi??
Hama huna pesa uwe romantic

Kuna watu hawana hela, hawana muonekano, hawako romantic sasa wa hvo unamsaidiaje kwa mfano,

Kuwa na kimoja wapoo ili mpenzi wako ajue ni wapi anajivunia kuwa na wewe sio upo upo tu[emoji23][emoji23][emoji23] akuvumilie mfukoni, akuvumilie chumban bado na barabarn awe na wasi wasi na wewe kuongoza oooh no no no no[emoji847][emoji847]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu nae anadhan kuna mapenzi ya bureeh duniani, zaidi ya kutoka kwa mama lol.
Hahaaaa hatajua hajui hela kwanza[emoji23]
 
Ndo hivyo Yan.
Mbaya zaidi mi nikipenda Napenda ile kweli, ila kila nikijaribu kuwaelewesha hawa viumbe (SIO kwa maneno tu mpaka kwa vitendo) hawanielewi naishia kuwa rejected naona labda Ni kwa vile Sina mvuto Wala ushawishi wa Aina yoyote kwa hawa viumbe.
Saivi nshachoka Sasa sitongozi Tena labda utokee muujiza akatokea mmoja anipende mwenyewe Kama nilivyo, na nahisi utakuwa ni muujiza wa karne!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji932]
 
Back
Top Bottom