The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mpige block,simple tu,kukusumbua kwake kunatokana na wewe unavyo respond huo usumbufu wake,inaonekana hata wewe unaufurahia huo usumbufu wake coz ni kama unakupa faraja fulani,kaa mbali na huyo kiumbe utajuta.Ananisumbua sana nataka Aache kunitafuta.