Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kabisa mkuu😂😂😂😂 dah na me mwaka jana na huu nmekaa mbal sana na family kikazi dah nachoshkuru tunafana na watoto copy and paste.. ila sasa kuna sku humu nliona mtu anasema mtoto unaeza fanana nae na bado si wako sjui kweli hvi?? Ilinikata mainii
Sahh mkuuMwanamke hata umfanyie nini hawi wa njia moja wakati wote!
Nazungumza katika ushahidi wangu binafsi kuna mwanamke nilimpa maisha yangu! Achana na kumpa muda nilimpa maisha yangu! Sina lugha rahisi ninayo weza vile nilimpa maisha yangu.
Lakini aliniacha nikiwa naona na macho yangu haya mawili , tena asubuhi kabisa kabla ya mapambazuko , baada ya jana yake kuliwa na jamaa!
Vile ilivyo niuma kipindi kile nilihitimisha mwanamke hata umpe nini kesho anaweza kuwa tofauti sana na jana.
Samehe 7×70Mwanamke akitoka nje ya Ndoa
Ukathibitisha hupaswi msamehe kabisa
Mwanamke ukimdaka na mwanaume hupaswi kabisa kuendelea nae au kuongea naye, we muache hata kama mna watoto muache atajijua mwenyewe.
Samehe 7×70Mwanamke akitoka nje ya Ndoa
Ukathibitisha hupaswi msamehe kabisa
Mwanamke ukimdaka na mwanaume hupaswi kabisa kuendelea nae au kuongea naye, we muache hata kama mna watoto muache atajijua mwenyewe.
Samehe 7×70Mwanamke akitoka nje ya Ndoa
Ukathibitisha hupaswi msamehe kabisa
Mwanamke ukimdaka na mwanaume hupaswi kabisa kuendelea nae au kuongea naye, we muache hata kama mna watoto muache atajijua mwenyewe.
Kei weweNinawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.
Simple, muombe tako, hatakutafuta tenaAnanisumbua sana nataka Aache kunitafuta.