Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hauachwi leo wala kesho.Ni ujinga tu kumdhuru mwenzio kisa mapenzi. Acheni ujinga.
Ukiingia kwenye mahusiano kua makini, ujinga wa mwingine utakudhuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauachwi leo wala kesho.Ni ujinga tu kumdhuru mwenzio kisa mapenzi. Acheni ujinga.
Wapo wengi tuu.
Hehee inategemea, maisha hayako fair kihiiivyo.
.
Yupo mume mwema hajaloweka nje ya ndoa lakini kuna mwamba analoweka kwa mkewe.
YahHivi Kuna waume hawaloweki kabisaa hata kidogo?
Huyo mnyaru nakutanane mara chache sana now tofauti na mara ya kwanzaNdo ulikompata mnyarwanda wako.Ndo maana hautaki mrudia mkeo.Umeshakuwa addicted na tinder.
Daaa kweli mkuu, hao wadada wanasafiri na ma MD sana nje ya nchi.Umenikumbusha
"The banker" (Nigerian drama film)
Ogopa Sana wadada wa Benki.
Hii ni movie eee.The banker
Mkuu umenikumbusha hii huyu jamaa mkewe alizaa watoto 2 na MD wa benk, na MD wa benk alikuwa anasafiri sana na dada huyo nje ya nchi, mkewe aliacha kazi kwenye hio benk na kukimbilia USA mume wake akaja kumwambia kuwa watoto wangu sio wako , ni wa MD yule jamaa alipa depression ila walifanikiwa kuimanage akawa sawa. Ila MD alishushwa cheo ya ile scandal. Jamaa Alafuta binti mwingine akaingia kwenye mahusiano nae ila akaja kufa baada ya miaka miwili , walisema kifo kilisabaishwa na depression aliyopata miaka miwili nyuma.Umenikumbusha
"The banker" (Nigerian drama film)
Ogopa Sana wadada wa Benki.
Very very Correct Mkuu.Mkuu umenikumbusha hii huyu jamaa mkewe alizaa watoto 2 na MD wa benk, na MD wa benk alikuwa anasafiri sana na dada huyo nje ya nchi, mkewe aliacha kazi kwenye hio benk na kukimbilia USA mume wake akaja kumwambia kuwa watoto wangu sio wako , ni wa MD yule jamaa alipa depression ila walifanikiwa kuimanage akawa sawa. Ila MD alishushwa cheo ya ile scandal. Jamaa Alafuta binti mwingine akaingia kwenye mahusiano nae ila akaja kufa baada ya miaka miwili , walisema kifo kilisabaishwa na depression aliyopata miaka miwili nyuma.
Ila alimwacha mchumba mpya na ujauzito. Wadada wa benk sio poa.
View attachment 2641171
Umefanya vizur kumuacha na usilogwe umrudie. Iko hiv kiroho mtoto wa nje aliyezaliwa na wife ataleta vita kubwa sana kwa wale wako coz ni damu nyingine imekuja inashindana na iliyowakuta so unakuta mtoto kama huyo anakuwa kisiran kwenye familia kwa wenzie.Habari wana JF. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea, nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu.
Miaka kama 12 hivi iliyopita nilikutana na mdada mmoja kanisani, nilimpenda kwa muonekano wake hasa mavazi yake ya heshima. Na maneno yake na sauti yake ilikuwa nyembamba kiasi.
Nilijitahidi na nikafanikiwa kuingia nae kwenye mahusiano tulikaa kwa miaka miwili hatimaye nikafanikiwa kuingia kwenye ndoa Takamine.
Tulikaa kwa muda kwenye ndoa mpaka kuweza kupata mtoto mmoja wa kike. Mimi na mke wangu ni black niseme na hata kwao mke wangu ni black na kwetu mimi pia ni hivyo. So dogo alikuwa ni black kama sisi.
Tuliendelea kwenye ndoa nakumbuka siku moja mke wangu aliniambia kuwa yeye hapendi mwanaume msaliti kwenye mapenzi na kama akisaliti basi asijue kabisa.
Mimi ni mfanyabiashara nina biashara zangu tuu. Mke wangu yeye ni mfanyakazi wa benk moja hivi DSM hapa.
Nakumbuka mke wangu baada ya kujifungua nilimnunulia gari pale Mwenge, Toyota harrier alikuwa ni kujimwaga tuu town.
Sasa baada ya miaka 2 na nusu hivi siku moja mke wangu alichelewa kurudi home alirudi kama saa 3 jioni hivi. Aaa mimi nikajiuliza hii sio kawaida yake sikumuuliza kitu chochote, maana hata alivyorudi alirudi kama anahangika na kama ana hofu flani. Sikumuuliza chochote ila nikawa na wasiswasi kuwa kashaanza kuliwa na kidume kingine. Sikutaka kuomba game usiku nikakausha.
Sasa mimi huaga ninasafiri sana, ila huo mchezo uliendelea kama 3 weeks japo alikuwa anajitahidi kuwahi kurudi anarudi kama saa 12 jioni hasa. Wakati yeye mara nyingi ni saa 10 mpaka 11 anakuwa tayari kasharudi. Nilimuuliza akajibu tuu shughuli. Tukaendela na ndoa baada ya miezi kama 2 hivi nakumbuka mke wangu sikukutananae kama siku tano hivi. Nikakutanae siku moja kabla ya kusafiri.
Kesho yake nilisafiri kwenda nje kwenye shughuli zangu. Baada ya kukaa kule kama 2 weeks wife akaniambia kuwa ana ujauzito wa 2 weeks mimi aaa kwa vile siku ile kabla ya kusafiri nilikutatane na nilicum kwenye pu*sy magoli 3, nikaona poa tuu. Japo kwa kubadilika kule nikaona hii inaweza ikawa sio ila nilikausha tuu.
Mimba hiyo nilirudi nikanyamaza tuu, mimba ilikuwa mpaka mtoto kuzaliwa. Baada ya kujifungua mimi nikasema fresh japo baada ya kumuona mtoto alikuwa ni white, mimi mmmh hata kwa wife yeye mwenyewe alishtuka. Mimi nikaona labda mtoto alitoka tumboni, nikamwambia nenda kwenu ukapate uzazi akagoma, nikamwambia kama unataka kwenda kwetu kwa my mama basi nikupeleke akagoma pia. Mimi mmh nikamuacha. Baada kama 3 weeks still dogo ni mweupe balaa. Mimi bwana uvumilivu ulinishinda nikaamua kumwambia ukweli tuu kuhusu mtoto.
Nilimwambia kuwa mtoto ni mweupe mbona nina wasiwasi sana, siunajua wanawake akaanza inaamna uniamini au vipi, mbona mimi nakuamini. Katika kujibizana maneno mwishoni akasema kama umtaki mtoto wangu sema tuu.
Mimi nikaamua kupiga simu kwao nikawaambia mke wangu amejifungua mnajua? Wakasema hawajui ila walikuwa wanajua tuu ni mjamzito. Mimi nikasema ana mtoto wa kiume now. Dada yake na mama yake wakasema tutakuja nikasema sawa, si wakaja bwana kwanza wao walishangaa dogo ni white. Niliona reaction yao walikuwa ni watu sura za huzuni flani na kunitazama mimi. Niliamua kuondoka home. Nilikaa kwenye mgahawa mmoja kule Kariakoo mpaka saa 6 night kwa mawazo yale.
Niliamua kurudi home na kuaanza kumuuliza maswali kesho yake mke wangu nilimuuliza maswali mengi sana mwishowe alikataa, nikamwambia mimi nipo tayari kwenda kupima DNA. Yeye akasema kama utaki mwanangu basi. Nikaamua kumfukuza home nikamwambia nenda kwenu sikutaki hapa.
Nakumbuka nilimnyang'anya funguo za gari. Ilikuwa Jumapili alitaka kuondoka na mtoto wangu wa kike nilimkatalia akaamua kuondoka yeye mwenyewe na kwenda kwa rafiki yake. Hakwenda kwao.
Nilimpigia dada yake na kumueleza, Dada yake akaamua kumtafuta na kumchukua na kwenda kwao. Mimi nilifikisha ujumbe home walishtuka sana.
Baada ya kama wiki 3 hivi wakasema basi tukutane pande mbili tujue shida ni nini, mimi niliwaambia shida mtoto nina wasiwasi sio wangu.
Wakasema basi twende tukathibitishe kwa DNA, ila mke wangu anagoma kabisa akasema kama haniamini basi.
Walijaribu kutumia mpaka viongozi wa dini lakini still aligoma kabisa kuhusiswa kwenye majalidiano, yeye anadai mimi simuamini kama simtaki mtoto basi.
Ila alipokaa na wazazi wake na kumuuliza vizuri alikiri kuwa alikuwa na mahusiano na mtu mmoja ambaye ni ofisi ya jirani na benk anayofanyia hapa DSM, jamaa ni kweli ni white so dogo ni wake.
Ila baadae wazazi wake walikuwa hawataki ndoa kuvunjika waliniomba niende kwa tuyamalize, walitumia viongozi mpaka wa dini kunishawishi.
Ila mimi niliona ni usaliti mkubwa sana tena wa kuacha alama.
Mke nae anasingizia Bahati mbaya sijui shetani alimpitia. Nikaona ni uwongo tuu hakuna kitu hapa. Niliamua kuvunja ndoa ile na nilifanikiwa, niliumia sana tena sana nilijiuliza maswali mengi ina maana yote haya niliyomfanyia alikuwa haridhiki au ni nini. Daaa nilimfanyia vitu vingi sana huyu dada.
Alijitahidi kuniomba msamaha, pamoja na mama yake na dada yake kwa pamoja ila mimi wala.
Mama yake alienda mbali na kusema kama mtoto hutamkubali basi yeye atakaa na mtoto ila mwanae nisimwache, Baba yake akasema kufanya hivyo ni kutetea ujinga na uzizi wa mtu,
Baba yake akasema yeye hakai na mtoto wa mtu mbaye wazazi wake wapo na wana maisha yao. Kuna kipindi mke wangu alijaribu kumtumia my brother ili kumsamehe ila ilishindikana.
Na alileta kisingizio cha ndoa yetu ni ya kanisani. Mimi nikamwambia kwa hilo ulilofanya sina hamu na wewe tena, nikamwambia kuwa nipo tayari kuzini na malaya ila sio wewe.
Mwishowe nilijikuta naingia kwenye mahusiano na mnyarwanda mmoja mdada nilikutanane Zanzibar, katika safari zangu za kupunguza stress.
Mdada ni mrembo si unajua wanyarwanda, nilikaa nae kwenye mahusiano kama mwaka hivi, kwa uzuri ule alinifanya nimsahau mke wangu. Ila kusema ukweli jamani watusti wazuri balaa . Akitabasamu tukiwa kitandani asalala, na pua zao, kwa kipindi kile nilikuwa na furaha sana. Ila niliachana nae baadae.
Mwaka 2020 nilikutana na mdada mmoja hivi nilianzisha mahusiano nae ila nilimueleza yote yaliyonitokea, mwaka jana mwezi January alibeba mimba yangu ila baada ya kujifungua alifariki na kuacha mtoto wa kike ambaye mimi ndio Baba.
Dogo yupo kwa mama yake. Naendaga kumsalia na kupeleka mahitaji.
Sasa tangu ex wife wangu kujua hilo kuwa nina mtoto na mama yake katangulia, SMS, simu sana anaomba turudiane ili anisaidie kunilelea mtoto. Simu ni nyingi mpaka naona kero, kuna siku alienda mpaka kwa wazazi wangu anawaomba wajaribu kunishawishi yeye yupo tayari kulea mtoto kama wake. Ila mimi kwa usaliti ule daaa. Sina hisia nae kabisa.
Ila najua kwa nini anataka kurudiana na mimi.
Mimi kwa sasa maisha yangu yapo fresh sana tena fresh. Yule mdada mnyarwanda alinisaidia sana kimawazo hasa ya biashara na connection, niseme ukweli tuu alinisaidia sana maana yeye ni mtu wa kuagiza vitu China na Japan, alinisaidia sana, yeye anafanya kazi kwenye kampuni ya crystal venture ipo Rwanda, ndo anafanya nao biashara nao sana na yeye ni mmoja wapo nafikiri.
Mke wangu misamaha yote kesho anaendelea kuomba, naamini kujutia ila simuhitaji tena.
Home wananishauri turudiane coz wote tuna watoto nje,
Ila mimi kwangu nimesema NO.
NB; AKINA DADA SISI WANAUME MNAVYOTUCHEAT HUWA TUNAWAZA VITU VINGI SANA, JUST IMAGE UMEMTOLEA MAHARI MKE KAMA MIMI NILITOA 3.5 MILLION, NDOA UNAGHARAMIA, UNAMLETA NYUMBANI KWAKO, UNAMUHUDUMIA, MPAKA UNAMPA NA GARI MWISHOWE UNAAMBULIA USALITI, SISI WANAUME TUNAUMIA SANA NA KUWAZA MENGI, WHY KAFANYA HIVI????
Hakuna ugumu wowote labda kama hana kipato au jamaa alimtamani tu hana nia nae.Sijui nafikili alikuwa ni mume wa mtu sijui,
Hata kama unaweza kuoa mke watu. Unawezaje kwenda kwao kujitambulisha angali wewe ndo ulivunja ndoa yake. Uwoni kama ni ngumu mkuu
Umewahi fanya tukio kama hiloUmefanya vizur kumuacha na usilogwe umrudie. Iko hiv kiroho mtoto wa nje aliyezaliwa na wife ataleta vita kubwa sana kwa wale wako coz ni damu nyingine imekuja inashindana na iliyowakuta so unakuta mtoto kama huyo anakuwa kisiran kwenye familia kwa wenzie.
Ila kiukweli ningekuwa ni mimi pamoja na kumuacha wife yule jamaa aliyemzalisha ningemfanyia kitu asingeamini ningemuacha hata miaka 5 ajisahau nikishindwa kabisa nampa na Mimi mimba mkewe. Huwez kuniaharibia ndoa yangu ukawa salama aisee.
Ila kwakawaida mwenye shida ni mkeoUmefanya vizur kumuacha na usilogwe umrudie. Iko hiv kiroho mtoto wa nje aliyezaliwa na wife ataleta vita kubwa sana kwa wale wako coz ni damu nyingine imekuja inashindana na iliyowakuta so unakuta mtoto kama huyo anakuwa kisiran kwenye familia kwa wenzie.
Ila kiukweli ningekuwa ni mimi pamoja na kumuacha wife yule jamaa aliyemzalisha ningemfanyia kitu asingeamini ningemuacha hata miaka 5 ajisahau nikishindwa kabisa nampa na Mimi mimba mkewe. Huwez kuniaharibia ndoa yangu ukawa salama aisee.
Una hoja usikilizwe😀##Kataa ndoa
##Twenzetu na Elon Musk
Kwangu haijawah kutokea sema kuna mshikaji ilimtokea tulichomfanyia jamaa ni yeye na Mungu wake anajua na alihama mazima alikimbia mji.Umewahi fanya tukio kama hilo
Na wewe unasahau vipi kitu muhimu kama hichio?Afu dada hao watutsi mbona wapo wengi tuu tena wengine wanadanga kabisa. Wapo wengi tuu ukiwa unapesa unawala sana.
Kuna mtandao mmoja wanatumia sana malaya wa rwanda .
Wapo kibao nimeusahau jina lake.
Hao hao watutsi tena ni warembo kichizi.
mzabzab
Hata Burundi wapo watutsi wengi sana wanamwake , wapo warembo tena wanajiuza sana.
Kuna mtandao nimeusahau nilimpa rafikk yangu mmoja alienda Burundi alipata kama 3 hivi tena ni warembo balaa.
Ile site nimeisahau jina.