Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Uongo! Ndoa ya kanisani inavunjwa kama kuna mmoja wenu ametembea nje ya ndoa. Kwa kesi yako, kama mtoto wake wa kizungu siyo kama Bikra Maria alivyopata mimba ya YEZU, ndoa inavunjwa bwashee. Hata Mzee Msekwa ilivunjwa kwa vile mke wake alikutwa analiwa na jamaa mwingine, akafunga ndoa na Anna Abdallah nyingine. Sir George pia, ni wengi sana.
Uko sahihi kabisa. Kwa habari ya zinaa ruksa ndoa kuvunjika:

"Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe"
1 Wakorintho 7 :2
 
Ninamfanyia hivyo coz yeye ndo ananitafuta tena sana sms kibao, kuna kipindi nilimblock akatumia NO nyingine nikaamua kuacha tuu.
Yeye ndl ananisumbua ila sio mimi.

Kuhusu yeye kumove on apate kidume mwingine sio wivu nae wala nini.
Maisha ninayoishi now ni mazuri mno. Unijui tuuu mwana.
Mwenye maisha mazuri angekuwa anafanya mambo yake na kuwa bize sio kuja kulialia humu jf mkuu.
 
🤣🤣🤣🤣Kuna mmoja huyo nilishashughulika nae kakaa kwa kutulia,
Usisahau kuwashughulikia pia wanaoleta story za kufikirika! Wanasema ni true story wakati ni ndoto za alinacha
 
Back
Top Bottom