Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Kama ndo hivyo basi hata kabla sijamuoa inamaana alikuwa anakutana na mwanaume kila baada ya siku kadhaa.
Ndio ilivyokua hio ni tabia yake huwezi kumtenganisha yeye na tabia yake ni suala la muda tu, ukimrudia atakupa mda tu kisha ataanza upya tabia yake tena this time ata make sure hau-spot any evidence kuhusu yeye kuliwa nje na wanaume wengine, wanawake ni master planners wakubwa sana hususani kwenye suala la kucheat wanaume wao, ni rahisi sana kwa mwanaume kugundulika anacheat kuliko mwanamke maana wanawake wanaficha sana Siri zao mpaka umbaini ni inahitaji uelewa wa hali ya juu sana
 
Kisafili sana mimi kwangu ni 3 weeks tuu kwa kipindi kile sijawahi zidisha hapo.
Kama ndo hivyo basi hata kabla sijamuoa inamaana alikuwa anakutana na mwanaume kila baada ya siku kadhaa.
Wewe ulishaamua kumuacha,kwa nini umemuanzishia thread ?Inaonekana unampenda bado.Sema tu ile ego,inakufanya ujifariji
 
Sikuwa mshiriki wa ngono kivilee chuoni,nilitry mara chache sana ,na ndio sehemu nilipoteza bikra yangu😢🤣
Ah hiyo kawaida ata mie kuonja mbususu nilionja nikiwa chuo.
Vipi lakini sasa una kidume au umeolewa kabisa?
 
Pole sana mkuu,ulijitahidi ila ndio hivyo,kisicho riziki hakiliki
 
Wewe ulishaamua kumuacha,kwa nini umemuanzishia thread ?Inaonekana unampenda bado.Sema tu ile ego,inakufanya ujifariji
Kwani wanaoleta thread humu za ex zao wanawapenda??
Nimeleta coz nimekumbuka na jinsi anavyonisumbua hii ni jana kanitumia
Niliscreenshot jana nikasahau kuiweka baada ya uzi kuisha
 
Kwani wanaoleta View attachment 2640070thread humu za ex zao wanawapenda??
Nimeleta coz nimekumbuka na jinsi anavyonisumbua hii ni jana kanitumia
Niliscreenshot jana nikasahau kuiweka baada ya uzi kuisha
Sasa kuna kosa gani mtu ku express feelings zake?Utoto unakusumbua ,ukikua utaacha.Yaani unajiona kidume kweli kumbe fala mmoja tu.Huyu mwanamke na yeye labda njaa tu inamsumbua. Ningekuwa ninamfahamu ningemwambia mama tafuta hela,una watoto.Tafuta hela na wala hautaliwaza tena hilo gume gume.
 
Huyu mnyarwanda mali nilizokuwa nazo kanisaidia sana kimawazo.
Na kuna chochote alichoniomba huyu mrembo.

Kwa sasa anapenda kushe langu balaa.
Mali mali,hauwajui vizuri watusi.Ninakupa 10 yrs from now.Utarudi na thread hapa.Please John,usiache kunitag.
 
Umeona eee sijui nikupe namba zake au vipi
 
Mali mali,hauwajui vizuri watusi.Ninakupa 10 yrs from now.Utarudi na thread hapa.Please John,usiache kunitag.
Nawajua vizuri,
Hajawahi kunipa pesa yoyote bali ni mawazo tuu na connection,
Afu mimi nipo bongo mali zangu zipo bongo.
Yeye si mbongo, yeye uraia wake ni rwanda, hana hata ndugu huku anakuja huku kwa ajili ya mbo* yangu tuu. Hakuna kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…