Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Hebu waliozichoka nafasi zao ofisini wawapishe waozitafutaAjira this, ajira that. As if ajira ilikufata nyumbani, kumbe we ndio uliitafuta 😁
Hawawezi kuthubutu, wanauogopa mtaa kishenzi.Hebu waliozichoka nafasi zao ofisini wawapishe waozitafuta
Stress za Monday.Hatari sana. Unapoajiriwa unakuwa unamuuzia mwajiri wako muda wako. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Mwajiri hukulipa kutokana na wewe kutumia sehemu yake ya kazi kumzalishia mali.
Kwa mwaka utapewa hela mara kumi na mbili tu. Dah kweli kuajiriwa ni mtego rasmi wa umasikini. Ndio maana waajiriwa wengi ni wezi
Waajiriwa wanaoipenda Monday ni wale wenye mahusiano ofisini na waizi 😁Stress za Monday.
Hawawezi.. kelele zitaendelea kusikika wao wako hapo hapo kwa kina ajiraHebu waliozichoka nafasi zao ofisini wawapishe waozitafuta
Leo ni Money DayStress za Monday.
Umekuwa mkali. Hebu gida glass moja ya maji, roho mchafu atowekeAjira this, ajira that. As if ajira ilikufata nyumbani, kumbe we ndio uliitafuta 😁
Ni weziHawawezi kuthubutu, wanauogopa mtaa kishenzi.
Siafiki kwa kiasi fulani nadharia hiyo.Hatari sana. Unapoajiriwa unakuwa unamuuzia mwajiri wako muda wako. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Mwajiri hukulipa kutokana na wewe kutumia sehemu yake ya kazi kumzalishia mali.
Kwa mwaka utapewa hela mara kumi na mbili tu. Dah kweli kuajiriwa ni mtego rasmi wa umasikini. Ndio maana waajiriwa wengi ni wezi
Katika maisha lazima uajiriwe ili upate capital na experience kwa sisi tuliotoka familia za kimasikini.Hatari sana. Unapoajiriwa unakuwa unamuuzia mwajiri wako muda wako. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Mwajiri hukulipa kutokana na wewe kutumia sehemu yake ya kazi kumzalishia mali.
Kwa mwaka utapewa hela mara kumi na mbili tu. Dah kweli kuajiriwa ni mtego rasmi wa umasikini. Ndio maana waajiriwa wengi ni wezi
Yeah. Iliionekane wazi na kuthibitika pasi na shaka kwamba wapo serious kweli.Hebu waliozichoka nafasi zao ofisini wawapishe waozitafuta
Naam; kwa mantiki hiyo watulizane makazini mwao wasitupigie kelele hapa.Hawawezi kuthubutu, wanauogopa mtaa kishenzi.
Siyo kila mtu lazima ajiajiri ,division of labour ,kuna wengine wana vipawa vya kujiajiri na kutengeneza ajira ,kuna wengine hawana hivyo vipawa ,kuna jamaa mmoja alipata mafao mazuri tu baada ya mkataba wake kuisha ,akaingia kufanya biashara hadi za china ,kapiga miaka kadhaa akaona bora arudishe mpira kwa kipa ,kaajiriwa tena....Jamaa alikuwa na mtaji mkubwa sana lakini biashara ilimshinda lakini kuna wengine walikuwa na mtaji mdogo tena robo ya jamaa lakini wamefanikiwa na wanaendeleza biashara mpaka leo.Hawawezi kuthubutu, wanauogopa mtaa kishenzi.
Mmmm-Not exactly broo. Unakubali kuajiriwa ili ujipatie riziki yako mkate wako wa kilasiku na Experiance ili ukitoka kwa mwajiri huyo uweze kuajiriwa mahali pengine. Mwajiri hapendezwi ( wengi wao na hata serikalini) na wewe kujikusanyia Capitol kwani kwa kitendo hico anajua ipo siku ukishafikia malengo yako utatemana naye.Katika maisha lazima uajiriwe ili upate capital na experience kwa sisi tuliotoka familia za kimasikini.
Mwajiri anachukua wastani wa masaa yako nane, unayo nane ya kulala unayo nane ya kufanyia unachotaka offcourse utatoa muda wa kwenda na kurudi kazini. Kwa hiyo bado apart from kuajiriwa unaweza jiongezea kipato kwa kufanya vingine na wala hujafungwa na muajiriHatari sana. Unapoajiriwa unakuwa unamuuzia mwajiri wako muda wako. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Mwajiri hukulipa kutokana na wewe kutumia sehemu yake ya kazi kumzalishia mali.
Kwa mwaka utapewa hela mara kumi na mbili tu. Dah kweli kuajiriwa ni mtego rasmi wa umasikini. Ndio maana waajiriwa wengi ni wezi
Kwa nyongeza: Halafu bado kama mwajiri wako ni lezafeya na hobela-hobela unaweza "kujitwalia" muda (kutega)wa kufanya mambo yako (Private projects nyingi)na bado mwisho wa mwezi ukalipwa sawa kana kwamba ulikuwa full time kazini.Mwajiri anachukua wastani wa masaa yako nane, unayo nane ya kulala unayo nane ya kufanyia unachotaka offcourse utatoa muda wa kwenda na kurudi kazini. Kwa hiyo bado apart from kuajiriwa unaweza jiongezea kipato kwa kufanya vingine na wala hujafungwa na muajiri
Piga haoAjira this, ajira that. As if ajira ilikufata nyumbani, kumbe we ndio uliitafuta 😁