Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Ongezea na:Sio kweli.
Tarehe 23: Mshahara wenye koma tatu
Tarehe 28: Posho ya nyumba na usafiri
Tarehe 30: Malipo ya kazi za muda wa ziada
Tarehe 02: Safari ya kikazi ya wiki mbili Arusha
Tarehe 25: Malipo ya posho ya sikukuu
Tarehe 15: Malipo ya posho ya mavazi
Tarehe 30: Mafunzo maalum ya uendeshaji wa mitambo ya kusafisha "bidhaa ghafi" baada ya usimikaji, miezi mitatu, Soul Korea
Naomba niishie hapo
- malipo ya safari za matibabu kazini
- malipo ya likizo ya mwaka