Ongezea na:Sio kweli.
Tarehe 23: Mshahara wenye koma tatu
Tarehe 28: Posho ya nyumba na usafiri
Tarehe 30: Malipo ya kazi za muda wa ziada
Tarehe 02: Safari ya kikazi ya wiki mbili Arusha
Tarehe 25: Malipo ya posho ya sikukuu
Tarehe 15: Malipo ya posho ya mavazi
Tarehe 30: Mafunzo maalum ya uendeshaji wa mitambo ya kusafisha "bidhaa ghafi" baada ya usimikaji, miezi mitatu, Soul Korea
Naomba niishie hapo
Haijazuia kuchakarika kivingine ili kuongeza kipato nje ya mshahara
Serikalini wizi unaoongoza ni wizi wa muda πππHatari sana. Unapoajiriwa unakuwa unamuuzia mwajiri wako muda wako. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Mwajiri hukulipa kutokana na wewe kutumia sehemu yake ya kazi kumzalishia mali.
Kwa mwaka utapewa hela mara kumi na mbili tu. Dah kweli kuajiriwa ni mtego rasmi wa umasikini. Ndio maana waajiriwa wengi ni wezi
Umeona ehh, supu masaa manneSerikalini wizi unaoongoza ni wizi wa muda πππ