Tulioangalia Kombe la Dunia mwaka 1986 nyumbani kwa Sheikh Yahya Magomeni tukutane hapa

Tulioangalia Kombe la Dunia mwaka 1986 nyumbani kwa Sheikh Yahya Magomeni tukutane hapa

Sheikh yahaya alikuwa anatumia kingamuzi gani?

Ama alikuwa na Dish lile kubwaaa jeusii
Sijui aisee ila stori za kijiweni eti yeye na nyerere pekee ndio walikuwa na hiyo kitu.japo zanzibar walianza kuwa na huduma ya TV kitambo
 
Hapo umedanganya pakubwa
Live haikwuwepo zaid tulikuwa unaletewa kwenye cassette unangalia marudii na hii mpaka kombe la 94 pia zbc walipga sana hela
 
Messi akaja kuzaliwa 1987...hapo Tanzania nzima population haijafika milioni 20...
 
Sijui aisee ila stori za kijiweni eti yeye na nyerere pekee ndio walikuwa na hiyo kitu.japo zanzibar walianza kuwa na huduma ya TV kitambo
Hata Bakhresa kkoo mwaka huo alionesha pia mpira
 
Back
Top Bottom