Tulioangalia Kombe la Dunia mwaka 1986 nyumbani kwa Sheikh Yahya Magomeni tukutane hapa

Mkuuu hongera aiseee umeshuhudia kidogo mengi,mimi nimeanza kuangalia WC 1998 wakati huo nipo drs la tano.Zidane,Viera Mungu azidi kiuwalinda
Jambo la kumshukuru Mungu kwa kweli,afya ndio kila kitu
 
My exposure was 1994 World Cup in the USA, Brazil vs Italy, Romario vs Baggio
 
Bagio alivyopaisha ile penati mpaka leo simsahau
Na Ile o ya usharobaro bonge la tozi Fulani hivi, I was 12yrs enzi hizo nina kipaji hatari natrain na Akina Bahati Mwaipopo, Willy Njau, na wakali kadhaa wa ligi kuu, niko primary hapo mlima reli acha kbsa. Nawambiaga watu siku hizi kuna bonanza football haipo tena, we used to watch football kila nchi ulaya na ligi zake talented players walikuwa hawahesabiki
 
Siku hizi makocha hawataki mchezaji aonyeshe skills zake,wanataka afuate maelekezo ,wanaharibu radha ya mpira
 
World Cup iliondoka na Uhai Andrew Ascobar wa Colombia, alijifunga goli alivyorudi Colombia wahuni walimpiga risasi, unakumbuka kisa hiki
 
Nakumbuka sana hiyo clip ya OG ninayo kwenye simu yangu
 
Kikosi Cha Argentina kulikuwa Bora kuliko timu zote kikiongozwa na Diego Someone, Mbele Batistuta, halafu kuna Ortega, Brazili wakiwa na Bebeto na Romario hatari sana
 
Back
Top Bottom