Tulioangalia Kombe la Dunia mwaka 1986 nyumbani kwa Sheikh Yahya Magomeni tukutane hapa

Ujerumani ya Magharibi kipindi hiko ilikuwa na mchezaji hatari sana Matthaus.

Alimkaba sana Maradona, hivyo Barrachugga ndiyo akawa hatari sana upande wa Argentina, fainali.
Barachuga naye alikuwa hatari sana
 
Mhhhh heshima yako mkuu.... hujakosea tulikua viunoni japo sijapishana sanaaa na hilo kombe
 
Yaani Dar nzima mliangalia mpira ya Sheikh Yahaya!!!??? Au sijakuelewa!
 
Na sie tuliakua tukiangalia pale kidongo chekundu tujuane.
 
Kwetu tulinunua tv mwak 1995 na kba ya hapo nikisha tizama kwa diwani mmoja mwak 1992 Kisha 95 nikaangalia kwa mtu anaitwa musoni alikuwaa ankodishwa Kisha kwenda kuonesha mikanda ya sherehe ,95 mzee baba angu akaona ujinga wanawe kwenda kwa jirani kukah Chini na kutizama

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Siye tulikuwa viunoni sawa......haya mjiandae kufa.......maana najua SASA presha visukari na magonjwa ya kizee yako jiraani yako
KIsukari ,presha, figo n.k wanaugua hadi watoto siku hizi
Lifestlye diseases ni hatari kuliko hayo magonjwa ya uzee,
 
Nimeangalia kombe la dunia kwa mara ya kwanza 2006, france anatandikwa na Italy. Huku zizu( zidane akila umeme baada ya kumtandika harder materazi). Nilifurahi sana kushuhudia watu wanavyoinjoyi kwa burudani ya mpira.)
 
Yaani Dar nzima mliangalia mpira ya Sheikh Yahaya!!!??? Au sijakuelewa!
Figure of speech/,pictorial language ,hii ni kuonyesha kuwa luninga zilimilikiwa ba wachache sana miaka hiyo
 
Mwaka 1990 luninga zilishaanza kuwa nyingi, halafu anaibuka mjinga mmoja anasema Mzee Ruksa hakufanya kitu.

Mwaka 1986 hata mwaka ulikuwa haujatimia tangu Mwinyi aingie madarakani ndio maana hali ilikuwa hivyo.

Tumetoka mbali
Hata kama Nyerere angeendelea kuwa rais, kipindi cha kuanzia mwaka 1990 ni lazima angeruhusu TV na bidhaa nyingine nyingi ambazo zilianza kuingia kipindi cha Mwinyi. Hiki kipindi ndicho mvutano wa vita baridi ulipoisha na ukuta wa Berlin kuanguka. Nchi nyingi zilizokuwa zinafuata siasa za ujamaa zililegeza mashartyi kwenye uingizji wa bidhaa na siasa kwa ujumla.
 
Nyerere asingekzbalu ba alishaona dalili mapema ndio maana akang'atuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…