Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro nielekeze kituo kilipoYap. Hapa kwetu Kuna binti kaenda toilet akavua kabisa, kaja amefunga kanga mpk kwenye manyonyo then akadungwa!
Ha ha! Mi nawaangalia nyie Kama sehemu ya majaribio..😂Unajua chanjo ya Mumps ilichukua muda mfupi kuliko hii ya COVID19? Kachanje ndg yangu!
Mkuu usitishe Sana watu..Inaonekana wewe ni mmoja wapo wa wale wanaopinga chanjo lakini umechanjwa bro,ngojeni micro chip za neurolink zianze kazi mtakavyokuwa controled na computer kama ma robot ndio mtajua.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Ni jambo la kuangalia sana na kuchukua hatua mapima ukizingatia kwamba kuna "False Negative" pia.Kwamba HIV wanakaa kwenye Ile chanjo? Au mambo ya false positive?
Hujapigwa ban siku nyingi. Ngoja nimuite moderator.... kkkkPimeni sasa ukimwi muone maajabu ya SD bioline!
Ili kuepuka kufungua vifungo vya shati na kuwapa tabu wahusika wanaruhusu kwenda tumbo wazi?
Kwanini wengi wenu mliochanjwa mnazungumzia madhara ya chanjo ya muda mfupi..? Mkishachomwa mnasema hamjaona mabadiliko yoyote!.
Ukichanjwa leo haimaanishi mabadiliko lazima uyaone leo inaweza chukua miaka!. Wengine wanakuja na hoja ati mbona tulichanjwa utotoni! Hawajifikirii ile chanjo ya utotoni zilipitia hatua nyingi mpk kukubaliwa tofauti na hizi za uviko 19 ambazo ni for your own risk even your government inaogopa kutiwa hatia na madhara utakayoyapata halafu wanakushawishi choma....
UVIKO-19 kwa kuwa unatibika sina sababu ya kupata chanjo.Kwanini wengi wenu mliochanjwa mnazungumzia madhara ya chanjo ya muda mfupi..? Mkishachomwa mnasema hamjaona mabadiliko yoyote!.
Ukichanjwa leo haimaanishi mabadiliko lazima uyaone leo inaweza chukua miaka!. Wengine wanakuja na hoja ati mbona tulichanjwa utotoni! Hawajifikirii ile chanjo ya utotoni zilipitia hatua nyingi mpk kukubaliwa tofauti na hizi za uviko 19 ambazo ni for your own risk even your government inaogopa kutiwa hatia na madhara utakayoyapata halafu wanakushawishi choma....
Sawa tupo sawa lakini hii chanjo ya Sasa watu wanaigopa maana yaonyesha hofu kwa watu hasa ukizingatia zimekuja kwa emergency na baadhi ya nchi walisitisha baadhi ya chanjo kutokana na kuleta tafrani baada ya kusababisha some cases na hata kupelekea vifo.Watanzania tulipata chanjo za polio, pepo punda, ndui, kifua kikuu etc, mbona tuko normal tu kama binadamu wengine!?
Hayo mabadiliko yatakuja baada ya miaka 200!?
Dawa yake ni nini mkuu..?UVIKO-19 kwa kuwa unatibika sina sababu ya kupata chanjo.
Isitoshe nikizingatia ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi sina sababu ya kuchanjwa.
Na kwamba hachanjwi mtu mwenye matatizo ya kiafya ni sababu tosha ya mimi kutokuchanjwa.
Sawa tupo sawa lakini hii chanjo ya Sasa watu wanaigopa maana yaonyesha hofu kwa watu hasa ukizingatia zimekuja kwa emergency na baadhi ya nchi walisitisha baadhi ya chanjo kutokana na kuleta tafrani baada ya kusababisha some cases na hata kupelekea vifo.
Mi sidhani chanjo hizi za uviko 19 zinathibitishwa na chanjo tulizopata huko awali!,mkuu watu huiamini serikali yao lakini kwa hili la serikali kuchukua chanjo toka nje(sio kosa lakini Kama ikiwa salama kwa watu) lakini swala la kusainishwa ka mkataba ka for your own risk,inaleta mashaka sana maana hata government inaonyesha inahofu juu ya chanjo husika na inajiepusha na lawama juu ya chochote kitakachokukuta kutokana na chanjo husika!.. what this..??
Mkuu it's for your own risk nenda kachomwe kila mtu abaki na maamuzi yake Kama serikali inavyotutaka.Kuiogopa na kuwa na hofu haina maana hicho wanachohofia ambacho hawajakifanyia UTAFITI wowote kitakuwa kweli kwa binadamu wote duniani.
Muite tu sahizi nshazoea BanHujapigwa ban siku nyingi. Ngoja nimuite moderator.... kkkk
Kwahiyo sharti la kuchomwa ni mpaka uwe na 50?Nilienda jana na fomu zangu huku niko keroro kinyama,,
Nikapanga foleni ya watu kama 9 hivi!
Imefika zamu yangu yule jamaa ananiambia kwamba bado hujafika miaka 50...
Nilimkoromea akaogopa halafu nikaondoka zangu nikamuachia kitambulisho na zile fomu..
Baadae pombe zimeniisha nikarudia ID yangu nikaenda kuzimua tena..
Ngoja nisubiri tuu nikifika miaka 50 wakanichome..