Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unayatafuta majanga yasiyo ya lazima.Bro nielekeze kituo kilipo
Sitakubali mnishuti.Naona unayatafuta majanga yasiyo ya lazima.
Ukigeuka zombie tunakupiga risasi ya kichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana.Mimi nimeenda leo nikawadanganya kuwa nina ugonjwa wa Pumu wakanichanja bila hata ya kunihoji chochote.Kwahiyo sharti la kuchomwa ni mpaka uwe na 50?
Nenda kituo kingine waambie una HIV au una Sickle cell au Pumu kali watakuchoma bila janjajanjaNilienda jana na fomu zangu huku niko keroro kinyama,,
Nikapanga foleni ya watu kama 9 hivi!
Imefika zamu yangu yule jamaa ananiambia kwamba bado hujafika miaka 50...
Nilimkoromea akaogopa halafu nikaondoka zangu nikamuachia kitambulisho na zile fomu..
Baadae pombe zimeniisha nikarudia ID yangu nikaenda kuzimua tena..
Ngoja nisubiri tuu nikifika miaka 50 wakanichome..
Mimi leo nilienda tumbo wazi😁😁😁Ili kuepuka kufungua vifungo vya shati na kuwapa tabu wahusika wanaruhusu kwenda tumbo wazi?
Nilichanja leo saa nne asubuhi chanjo ya Jahnson & johnson,sasa hivi ni saa kumi na mbili jioni nasikia homa kwa mbali na joto linapanda.
Congratulations rafiki.Mimi nilichanja jana, niliwaambia ni diabetic 2, wakasema unatumia dawa za kukohozi nikasema ndio, wakaziagalia zile dawa wakasema hakuna shida ni za allergy tu....ila wakashauri madaktari wawambie wachanjwaji kama unatumia dawa za kikohozi usichanje kwanza.....sikutoa kitambulisho wala nini, nilijaza tu fomu..yenye maelekezo ya kujua ninaishi mtaa gani na other normal details, kisha nisaini mwaka wa kuzaliwa below 50! nikadungwa ..bado sijaona shida sana!
Mkuu usiku nimechakazwa kwelikweli.Kichwa kilikuja kuuma,misuli ikauma na joto kupanda sana ila sasa hivi joto limeshuka,misuli haiumi tena.Kimebakia kichwa tu.Homa ni normal. Hapo Kinga inajijenga. Hongera
Hebu nipe heads up za utaratibu wa kufuata kwa tunaotaka kupiga Chanjo mkuu.Mimi nimepiga leo..sikuwa na mpango wa kuchoma kabisaaa!!
Ila nilipeleka aunt wangu na bibi tena walikuwa hawataki kusikia habari za chanjo kabisa..
Nikawapiga somo vizuri wakaelewa nikawapeleka!!
Sijui wazo gani liliniingia.chap chap nikaweka booking nikachoma.ajabu tulikuwa sisi tuu.naona mwitikio wa chanjo bado upo chini sana.
Nimechoma kiukweli sijahisi chchote zaidi ya hofu tuu!!
Hebu nipe heads up za utaratibu wa kufuata kwa tunaotaka kupiga Chanjo mkuu.
Hebu nipe heads up za utaratibu wa kufuata kwa tunaotaka kupiga Chanjo mkuu.
Shukrani mkuuCovaxPortal
chanjocovid.moh.go.tz