#COVID19 Tuliochanjwa chanjo ya COVID-19 Karibuni tutoe mrejesho

Johnson And Johnson
Kuna Mtu Kachoma Jana Usiku Mdomo Umevimba Akawahi Dodoma Hospital. Mpaka Sasa Hivi Alipatiwa Syringe Ila ...
 
Ili kuepuka kufungua vifungo vya shati na kuwapa tabu wahusika wanaruhusu kwenda tumbo wazi?
Yap. Hapa kwetu Kuna binti kaenda toilet akavua kabisa, kaja amefunga kanga mpk kwenye manyonyo then akadungwa!
 
Inaonekana wewe ni mmoja wapo wa wale wanaopinga chanjo lakini umechanjwa bro,ngojeni micro chip za neurolink zianze kazi mtakavyokuwa controled na computer kama ma robot ndio mtajua.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mkuu usitishe Sana watu..
 
Watanzania tulipata chanjo za polio, pepo punda, ndui, kifua kikuu etc, mbona tuko normal tu kama binadamu wengine!?
Hayo mabadiliko yatakuja baada ya miaka 200!?
 
UVIKO-19 kwa kuwa unatibika sina sababu ya kupata chanjo.

Isitoshe nikizingatia ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi sina sababu ya kuchanjwa.

Na kwamba hachanjwi mtu mwenye matatizo ya kiafya ni sababu tosha ya mimi kutokuchanjwa.
 
Nilienda jana na fomu zangu huku niko keroro kinyama,,
Nikapanga foleni ya watu kama 9 hivi!
Imefika zamu yangu yule jamaa ananiambia kwamba bado hujafika miaka 50...
Nilimkoromea akaogopa halafu nikaondoka zangu nikamuachia kitambulisho na zile fomu..

Baadae pombe zimeniisha nikarudia ID yangu nikaenda kuzimua tena..

Ngoja nisubiri tuu nikifika miaka 50 wakanichome..
 
Watanzania tulipata chanjo za polio, pepo punda, ndui, kifua kikuu etc, mbona tuko normal tu kama binadamu wengine!?
Hayo mabadiliko yatakuja baada ya miaka 200!?
Sawa tupo sawa lakini hii chanjo ya Sasa watu wanaigopa maana yaonyesha hofu kwa watu hasa ukizingatia zimekuja kwa emergency na baadhi ya nchi walisitisha baadhi ya chanjo kutokana na kuleta tafrani baada ya kusababisha some cases na hata kupelekea vifo.

Mi sidhani chanjo hizi za uviko 19 zinathibitishwa na chanjo tulizopata huko awali!,mkuu watu huiamini serikali yao lakini kwa hili la serikali kuchukua chanjo toka nje(sio kosa lakini Kama ikiwa salama kwa watu) lakini swala la kusainishwa ka mkataba ka for your own risk,

inaleta mashaka sana maana hata government inaonyesha inahofu juu ya chanjo husika na inajiepusha na lawama juu ya chochote kitakachokukuta kutokana na chanjo husika!.. what this..??
 
UVIKO-19 kwa kuwa unatibika sina sababu ya kupata chanjo.

Isitoshe nikizingatia ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi sina sababu ya kuchanjwa.

Na kwamba hachanjwi mtu mwenye matatizo ya kiafya ni sababu tosha ya mimi kutokuchanjwa.
Dawa yake ni nini mkuu..?
 
Kuiogopa na kuwa na hofu haina maana hicho wanachohofia ambacho hawajakifanyia UTAFITI wowote kitakuwa kweli kwa binadamu wote duniani.
 
Kuiogopa na kuwa na hofu haina maana hicho wanachohofia ambacho hawajakifanyia UTAFITI wowote kitakuwa kweli kwa binadamu wote duniani.
Mkuu it's for your own risk nenda kachomwe kila mtu abaki na maamuzi yake Kama serikali inavyotutaka.
 
Suala la chanjo ni la binafsi na hiari. Kila mtu apambanie afya yake kwa namna anayoona inafaa. NIMECHANJA
 
Kwahiyo sharti la kuchomwa ni mpaka uwe na 50?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…