Ukiona ndoa imedumu muda mrefu ujue kuna mmoja amekubali kuwa kama fala.Tupeane matukio na Kuona namna ya kuhakikisha zinadumu daima mpaka kuzikana.
Binafsi Nina miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na Nina 45yrs. Nina watoto kadhaa. Kyra, vivi na shaykee
Kuna muda naona kama wife ananidharau sabb ninachalala. Kama mjuavyo mwanamke ni pesa bila kuwa na pesa atakudharau tu.
Kuna muda naamkia kariakoo, tandale, mwenge mara naamkia Kwa matajiri masaki kutafuta fursa.
Kikubwa usikose pesa na ikiwezekana asijie umepata wapi. Kuna muda na kubet nimebeti.
Katu sisemi napata wapi pesa. Nimikosa basi hivyo.
Kubwa linalowasumbua watoto wa miaka hii ni mapenzi na kuchepuka.. wale wa miaka Ile ukimkuta mchepukaji ni 100 na ukifanikiwa kupata mtulivu ni 100
21yrs and the bond is still as strong as ever age mate, my first born(a disciplined young lady) yuko chuo na wadogo zake wa kutosha nyuma yake.Tupeane matukio na Kuona namna ya kuhakikisha zinadumu daima mpaka kuzikana.
Binafsi Nina miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na Nina 45yrs. Nina watoto kadhaa. Kyra, vivi na shaykee
Kuna muda naona kama wife ananidharau sabb ninachalala. Kama mjuavyo mwanamke ni pesa bila kuwa na pesa atakudharau tu.
Kuna muda naamkia kariakoo, tandale, mwenge mara naamkia Kwa matajiri masaki kutafuta fursa.
Kikubwa usikose pesa na ikiwezekana asijie umepata wapi. Kuna muda na kubet nimebeti.
Katu sisemi napata wapi pesa. Nimikosa basi hivyo.
Kubwa linalowasumbua watoto wa miaka hii ni mapenzi na kuchepuka.. wale wa miaka Ile ukimkuta mchepukaji ni 100 na ukifanikiwa kupata mtulivu ni 100
Au kuna mmoja wao anafaidika zaidi na jambo fulani,Ukiona ndoa imedumu muda mrefu ujue kuna mmoja amekubali kuwa kama fala.
Ba mkwe 😄21yrs and the bond is still as strong as ever age mate, my first born(a disciplined young lady) yuko chuo na wadogo zake wa kutosha nyuma yake.
Kunashido Kuogesha watoto na kupika?Kuna mwingine atajisifu ndoa yake imetulia,lakini akishafika home atafua chupi za mkewe,ataogesha watoto na kupika msosi. Ndoa zina siri nyingi na ni vema siri zibaki kuwa siri.
📝Ambao hamjaoa karibuni kwenye ulimwengu wa ndoa. Yaani kuoa ni kumiliki mtu kama vile unavyomiliki mali nyingine. Gari mbuzi na ng'ombe.
Umpatie mahitaji yooote anayotaka na umuhudumie mpaka afe au wewe ufe. Kwa kufupi ndoa ni mtego. Ukioa tu jua ndio umenasa.
Hapa bila shaka unamwongelea GENTAMYCINE.Kuna mwingine atajisifu ndoa yake imetulia,lakini akishafika home atafua chupi za mkewe,ataogesha watoto na kupika msosi. Ndoa zina siri nyingi na ni vema siri zibaki kuwa siri.
Tuelewe tu mwanamke anaroho mbaya kuliko mwaname.Au kuna mmoja wao anafaidika zaidi na jambo fulani,
Nanukuu kauli ya mleta mada;
''Kuna muda naona kama wife ananidharau sabb ninachalala. Kama mjuavyo mwanamke ni pesa bila kuwa na pesa atakudharau tu''
20 years ndani ya ndoa,mkewe hakutakiwa kumuonyesha dharau mambo yake ya kipato yanapokua hayapo sawa,alitakiwa awe ameshamjua,kumzowea na kumpa support pale mambo yanapokua hayapo sawa.