Sasa shida iko wapi hapo? Kuwapikia watoto wako chakula ni kuwa na ndoa mbaya? Kumfulia mkeo nguo ni kuwa na ndoa mbaya?Kuna mwingine atajisifu ndoa yake imetulia,lakini akishafika home atafua chupi za mkewe,ataogesha watoto na kupika msosi. Ndoa zina siri nyingi na ni vema siri zibaki kuwa siri.
Mke wako na wewe ni age mates?21yrs and the bond is still as strong as ever age mate, my first born(a disciplined young lady) yuko chuo na wadogo zake wa kutosha nyuma yake.
Umetisha! Ulioa ukiwa na umri wa miaka 25! Wenzako tulioa tukiwa 40.Tupeane matukio na Kuona namna ya kuhakikisha zinadumu daima mpaka kuzikana.
Binafsi Nina miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na Nina 45yrs. Nina watoto kadhaa. Kyra, vivi na shaykee
Kuna muda naona kama wife ananidharau sabb ninachalala. Kama mjuavyo mwanamke ni pesa bila kuwa na pesa atakudharau tu.
Kuna muda naamkia kariakoo, tandale, mwenge mara naamkia Kwa matajiri masaki kutafuta fursa.
Kikubwa usikose pesa na ikiwezekana asijie umepata wapi. Kuna muda na kubet nimebeti.
Katu sisemi napata wapi pesa. Nimikosa basi hivyo.
Kubwa linalowasumbua watoto wa miaka hii ni mapenzi na kuchepuka.. wale wa miaka Ile ukimkuta mchepukaji ni 100 na ukifanikiwa kupata mtulivu ni 100
Wewe, moyo wa mtu ni kichaka!21yrs and the bond is still as strong as ever age mate, my first born(a disciplined young lady) yuko chuo na wadogo zake wa kutosha nyuma yake.
35 wenzakoMnastahili pongezi kwakweli miaka 20 ni parefu sana.
Kukubali kukaa matatizo ndouhKuna mwingine atajisifu ndoa yake imetulia,lakini akishafika home atafua chupi za mkewe,ataogesha watoto na kupika msosi. Ndoa zina siri nyingi na ni vema siri zibaki kuwa siri.
Dah nime hisi kuchanganyikiwaduh huku nimepotea njia, uzi wa kataa ndoa uko wapi?
Intelligent businessman
KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI
Mtu and my daughter are two completely different human souls.Wewe, moyo wa mtu ni kichaka!
Nope, she is younger than me.Mke wako na wewe ni age mates?
Eight(8)Mnapishana miaka mingapi
Hiyo jamaa ni takataka!Kunashido Kuogesha watoto na kupika?
Vice versa is true. Wanawake wengi wanavumilia kwenye ndoa kwa sababu ya watoto.Na mara nyingi mwanaume ndio anakubali kuwa Fala,napo huwa ni sababu ya watoto.
Ukiwa na akili nyingi huwezi kujaribu kuoa,ni ufala zaidi ya ufala katika karne hii.
Is there any problem if I will get married to my agemate?Nope, she is younger than me.
Not at all, important factors are obedience, loyalty, faithfulness, honesty, trustfulness, tolerance, understanding, love, understanding each one’s roles, zero ego, respect, understanding each one’s weaknesses, understanding each one’s responsibilities and obligations, agreeing on each one’s likes and dislikes and wholeheartedly respecting that, openness, truthfulness among other things.Is there any problem if I will get married to my agemate?
Thanks much, mkuu.Not at all, important factors are obedience, loyalty, faithfulness, honesty, trustfulness, tolerance, understanding, love, understanding each one’s roles, zero ego, respect, understanding each one’s weaknesses, understanding each one’s responsibilities and obligations, agreeing on each one’s likes and dislikes and wholeheartedly respecting that, openness, truthfulness among other things.
Roughly those factors among other things matter more.