Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

Sasa na wewe ndugu yangu acha uvivu,umeshapewa idea,yanayobaki na wewe fuatilia,we unataka kilakitu ufanyiwe???!!!!?
 
Kwa diesel itakuwa changamoto kubwa kama sio engine kunock.
 
Sasa mkuu kama unalazimika kubonyeza switch utasemaje kwamba inarudi kwenye mafuta automatically? Fafanua hapo.
sio mtaalamu sasa kama kabudi ila iko ivi, mtungi una pressure kiasi kadhaa kinachofanya ile gas itoke so ule mfumo una sensor ambayo inasense kupungua kwa pressure so ile sensor itatuma taarifa kwenye mfumo wa kompyuta wa gari na ku switch off mfumo wa gas na kurudi kwenye mafuta na hii ni kama tu utakua umesahau kushift from gas to petrol ila waweza switch manually ukiangalia gauge ile ya gas.
ila mimi sio mtaalamu wa huo mfumo nimesema ninavyoelewa.
 
Mtungi Wa gas kwenye buti? likibutuka humo mnataftana hata extinguishers huikumbuki ni Bomu!!! Wallah sifungi hata ikiwa bure, ...
Haiwezi kubutuka kwa sababu huo mtungi ni madhubuti mno, unaambiwa kuupasua labda uupige na bomu, ma gesi yenyeww ni lighter than air, yaan hata ikavuja inayeyukia hewani kabla haija-accumulate kuweza kuleta explosion
 
Vipi kuhusu performance ya gari haipungui??? Au nguvu ya gari inabaki vilevile kama ukiwa unatumia mafuta!
Nadhani inazidi, bei kuwa ndogo haimaniishi lower energy content, infact gas ni nishati safi zaidi na haina exhaust kama petrol.
 
Kwa diesel itakuwa changamoto kubwa kama sio engine kunock.
Technology ya diesel to gas ndio inapakuliwa jikoni as i speak, ni kukaa mkao wa kula tu. Kama mitambo ya diesel ya ubungo iliweza kubadilishwa na kutumia gesi ya Songosongo sioni kwanini ishindikane kwa magari
 
Usipagawe na propaganda za wauza mafuta! Kwani hata hayo magari yanayotumia petrol na diesel si yanalipuka kila siku!? Issue ya msingi hapo ni umakini na kuzingatia taratibu zote za kiusalama.
Nilipoona hiyo video nikaanza kujiuliza kituo chake cha mafuta kiko wapi, maana gari hazitumii LPG za kupikia
 
Exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…