Hvyo vibaby walker ukiweka huo mtungi si ndio huna tena pakuweka vitu [emoji23] [emoji23]IST wengi sana wamefunga, unakuta kamtungi ka elfu arobaini anapuyanga jiji lote mwezi mzima na chenji inarudi
Sasa namba 3 &5 inakuwaje ni uongo? kuwa makiniWaagizaji wa mafuta mnapata tabu sana, hizo assumption ni uongo uliotukuka.
Mkiwa wengi na bei ya gesi watapandisha
Hiyo mkuu haina tofauti na tank la petrol liliopo chini au pembeni ya gari lako,siku ikiwa ni ya kulipuka hata petrol inalipuka.Mimi ngoja nitafute hiyo hela niweke,ila gharama itahamia kwenye tairi maana hiyo misele ntakayokuwa napiga itakuwa si ya kawaida...Mtungi Wa gas kwenye buti? likibutuka humo mnataftana hata extinguishers huikumbuki ni Bomu!!! Wallah sifungi hata ikiwa bure, ...
Hilo nalo linaweza likawa na ukweliHiyo bei ya 1500/- kwa kilo haijanishawishi....si unajua tena serikali yetu....watumiaji wakifika asilimia 50 tu, lazima kilo ifike 2500/- au zaidi.......
Tatizo mfumo tulio nao kila kitu wanataka wakusanye mabilioni hapo
Hahahah, tairi miezi miwili tu hazifai..Hiyo mkuu haina tofauti na tank la petrol liliopo chini au pembeni ya gari lako,siku ikiwa ni ya kulipuka hata petrol inalipuka.Mimi ngoja nitafute hiyo hela niweke,ila gharama itahamia kwenye tairi maana hiyo misele ntakayokuwa napiga itakuwa si ya kawaida...
😀😀😀😀😀😀Hiyo mkuu haina tofauti na tank la petrol liliopo chini au pembeni ya gari lako,siku ikiwa ni ya kulipuka hata petrol inalipuka.Mimi ngoja nitafute hiyo hela niweke,ila gharama itahamia kwenye tairi maana hiyo misele ntakayokuwa napiga itakuwa si ya kawaida...
Hii ni hatari sana kimbieni kama forexAcha propaganda za kijinga, umeshaambiwa hiyo kitu ni very safe, ma toka waanza kufunga hapa nchini hapajawaji kuwa na incident yeyote.
Mi nasisitiza wote mnaofunga mtakuja kulipuliwa kizembezembe kama Forex ilivyowafanya watu humu ndani kaaeni mbaliToa hoja kwanini uhisi hivyo, otherwise ni kutishana bila sababu, ni kama mimi nije halafu nikwambie nahisi hiyo simu yako ni bomu na litalipuka, yaani from nowhere and without basis
Soma maelezo katika uzi wa 'CNG'Mi nasisitiza wote mnaofunga mtakuja kulipuliwa kizembezembe kama Forex ilivyowafanya watu humu ndani kaaeni mbali
Watu wengi wakihamia huko gesi itapamdishwa bei na kodi kibao ili bei yake na mafuta vilingane.BINAFSI NILIWASIKIA HAO DIT WAKIHOJIWA CLOUDS FM NA WALISEMA KWASASA WANABADILISHA MAGARI YANAYOTUMIA TU PETROL YA UKUBWA WA AINA YOYOTE KWA GHARAMA YA TSH, MILIONI MOJA NA LAKI NANE (1,800,000) WAKASEMA VIFAA VYA KUFUNGA MAGARI YANAYOTUMIA DIESEL WAMESHALETA ILA BADO HAWAJAANZA KUFUNGA ILA SOON WATAANZA PIA YA DIESEL.
PIA WALISEMA KWENYE DASH BORD KUTAKUA NA ALAMA INAYOONESHA KIWANGO CHA GESI KILUCHOPO KAMA TU INAVYOONYESHA MAFUTA, PIA KUTAKUWA NA BUTON MAALUM YENYE UWEZO WA KUSWICH OFF UPANDE WA GESI KAMA IMEKWISHA NA KURUDI UPANDE WA MATUMIZI YA PETROL.
NA WALISEMA KWASASA KILO MOJA YA GESI NI TSH, 1500 NA KWA GARI DOGO INA UWEZO WA KUTEMBEA MPAKA KM 27 KWA KG, 1 NAFIKIRI KIDOGO NIMEELEWEKA.
Acha kuongea ujinga kwenye hoja za maana.Mkuu ungeandika Uzi ulioshiba kupunguza maswali ya wadau.
Vp hata sisi wa baiskeli tunaweza kufunga?
Kwahiyo kila mtu atumie terrios? Akili yako ipo sawa?Hiyo garama 1.8M si bora kama una gari inakula sana mafuta uuze af ununue ka terios kid au gari yoyote yenye cc ndogo lita moja km 20 sasa ya nn gharama kubwa na akat mafuta yapo nunua hata tata nano full tank unatumia mwezi mzima maaana kana piston 2 tuu
Kwahiyo kila mtu atumie terrios? Akili yako ipo sawa?
Hilo pato la taifa limekusaidia nini so far?Maisha yatazidi kuwa marahisi,
Tutegemee gharama za usafirishaji kupunguakea kasi,
Serikali iweke kodi kwa magari yote yenye gas ii kuongeza pato la taifa
Unamaanisha unakuwa na mzigo kabla ya Mzigo!Ukiweka hyo kitu sahau kutumia buti yako ya gari..maana makitu yatajaa humo
AiseeHilo pato la taifa limekusaidia nini so far?