Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

Mtungi Wa gas kwenye buti? likibutuka humo mnataftana hata extinguishers huikumbuki ni Bomu!!! Wallah sifungi hata ikiwa bure, ...
Hiyo mkuu haina tofauti na tank la petrol liliopo chini au pembeni ya gari lako,siku ikiwa ni ya kulipuka hata petrol inalipuka.Mimi ngoja nitafute hiyo hela niweke,ila gharama itahamia kwenye tairi maana hiyo misele ntakayokuwa napiga itakuwa si ya kawaida...
 
Hiyo bei ya 1500/- kwa kilo haijanishawishi....si unajua tena serikali yetu....watumiaji wakifika asilimia 50 tu, lazima kilo ifike 2500/- au zaidi.......
Tatizo mfumo tulio nao kila kitu wanataka wakusanye mabilioni hapo
 
Hilo nalo linaweza likawa na ukweli
 
Hiyo mkuu haina tofauti na tank la petrol liliopo chini au pembeni ya gari lako,siku ikiwa ni ya kulipuka hata petrol inalipuka.Mimi ngoja nitafute hiyo hela niweke,ila gharama itahamia kwenye tairi maana hiyo misele ntakayokuwa napiga itakuwa si ya kawaida...
Hahahah, tairi miezi miwili tu hazifai..
 
Hiyo mkuu haina tofauti na tank la petrol liliopo chini au pembeni ya gari lako,siku ikiwa ni ya kulipuka hata petrol inalipuka.Mimi ngoja nitafute hiyo hela niweke,ila gharama itahamia kwenye tairi maana hiyo misele ntakayokuwa napiga itakuwa si ya kawaida...
😀😀😀😀😀😀
 
Toa hoja kwanini uhisi hivyo, otherwise ni kutishana bila sababu, ni kama mimi nije halafu nikwambie nahisi hiyo simu yako ni bomu na litalipuka, yaani from nowhere and without basis
Mi nasisitiza wote mnaofunga mtakuja kulipuliwa kizembezembe kama Forex ilivyowafanya watu humu ndani kaaeni mbali
 
BINAFSI NILIWASIKIA HAO DIT WAKIHOJIWA CLOUDS FM NA WALISEMA KWASASA WANABADILISHA MAGARI YANAYOTUMIA TU PETROL YA UKUBWA WA AINA YOYOTE KWA GHARAMA YA TSH, MILIONI MOJA NA LAKI NANE (1,800,000) WAKASEMA VIFAA VYA KUFUNGA MAGARI YANAYOTUMIA DIESEL WAMESHALETA ILA BADO HAWAJAANZA KUFUNGA ILA SOON WATAANZA PIA YA DIESEL.
PIA WALISEMA KWENYE DASH BORD KUTAKUA NA ALAMA INAYOONESHA KIWANGO CHA GESI KILUCHOPO KAMA TU INAVYOONYESHA MAFUTA, PIA KUTAKUWA NA BUTON MAALUM YENYE UWEZO WA KUSWICH OFF UPANDE WA GESI KAMA IMEKWISHA NA KURUDI UPANDE WA MATUMIZI YA PETROL.
NA WALISEMA KWASASA KILO MOJA YA GESI NI TSH, 1500 NA KWA GARI DOGO INA UWEZO WA KUTEMBEA MPAKA KM 27 KWA KG, 1 NAFIKIRI KIDOGO NIMEELEWEKA.
Watu wengi wakihamia huko gesi itapamdishwa bei na kodi kibao ili bei yake na mafuta vilingane.
 
Hiyo garama 1.8M si bora kama una gari inakula sana mafuta uuze af ununue ka terios kid au gari yoyote yenye cc ndogo lita moja km 20 sasa ya nn gharama kubwa na akat mafuta yapo nunua hata tata nano full tank unatumia mwezi mzima maaana kana piston 2 tuu
Kwahiyo kila mtu atumie terrios? Akili yako ipo sawa?
 
Back
Top Bottom