Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma comments nikajikuta mimi niko na afadhali!
Acha nizidi kukaza buti, siku mambo yakininyookea nitakuja tena!
Hakuna dhambi kubwa kama kukata tamaa!!
Barikiwa sanaNiko NYUMA yako!
"We either win or learn!"MSOWELO ni sehem nzuri ya kilimo.lakini kilichonipata nitarudi
Niliwai lima matikiti 2016 Simiyu(kilimo cha simu)vijana wakayatelekeza yakauka bila kumwagilia.Tukarudia mara ya pili miche ikasombwa na mafuriko.Nikasamehe kila kitu huko shamba sikufatlia tena..MSOWELO ni sehem nzuri ya kilimo.lakini kilichonipata nitarudi
Niliwai lima matikiti 2016 Simiyu(kilimo cha simu)vijana wakayatelekeza yakauka bila kumwagilia.Tukarudia mara ya pili miche ikasombwa na mafuriko.Nikasamehe kila kitu huko shamba sikufatlia tena..
Nikalima heka tatu za mahindi ya kuchoma.Nikapata vizuri (Msowelo)Akatokea mnunuzi anataka shamba zima kwa kila heka laki 8.Nikaona kama anataka kunilaghai nikagoma mana maindi yalikua mazuri sana na makubwa japo kulikua na changamoto ya panya na ngedere.Ukaidi wangu panya na ngedere wakashambulia na sikupata mnunuzi yakakaukia shamban mengine.Nikavuna nikapiga dawa nikisubiri bei ipande na haikupanda mpaka dawa ikaisha makali yakaanza kubunguliwa.mwisho nikaambulia 350k
Nikaamua kuhamia kwa vitunguu.Nikalima heka tatu.Nilipata vitunguu vya kutosha na vyenye afya.Likatokea jamaa linataka kunipa 15M kwa heka zote tatu.Katokea mshauri (shetani)na kilimo cha mahesabu ya pdf.Nikaona naweza piga zaidi ya 100M.Tamaa zikaniponza sikupata kitu.Baada ya kuvuna nimevihifadhi kwenye chanja kila siku tunavigeuza nikisubiria bei ipande. vingine vinaoza.Vingine vijana shamba wanaiba wanauza,vingine nabeba nyumbani.Kwa makadirio ya chanja gunia zilikua zaidi ya 150.Nikapata mtu wa 70k kila gunia nikagoma aongeze 10k akagoma akakimbia.
Bahati mbaya ikapiga mvua mbaya sana.Sasa vijana kumbe hawakulala shamba.Hata sijui walienda kunywa pombe ama walilala kwa wanawake.Kuna vilivyokuwa vimeanikwa chini vililoa chapa chapa,Chanja alikufunikwa pembeni na maturubai.mvua ilikua kubwa na ya upepo ukavunja na chanja vitunguu vyote vikaloa.Nilifika shamba nikachanganyikiwa.Toka niliondoka hapo sikuwai kurudi na sirudi tena shamba.
Nataka nijaribu ufugaji wa mbuzi ama kuku wa kienyeji nikipata mda.

Nimesahau kuongezea nililima Tikikiti nilipata mkuu.wakaja madalali wa moro town wakataka tikikiti kubwa kwa 3000 na dogo kabisa kwa 1500.wakataka zote heka 3.Tamaa dalali wa dar kanipigia simu tikikiti dogo buku3 kubwa mpaka buku7.Kihehere nikaona bora nikauze dar.nikadaka fuso brother.Kuruka bongo daresalam.Nakuta tikiti zimemwagika kama mvua ya mawe.Dalali kaishiwa pozi akaniambia hali ndio hio.Nikauza hadi jero jero nikalipa fuso.Nikarudi zangu moro mpoole kama nimemwagiwa maji...Kama ningekua sina hajira ungekuta nimeshachanganyikiwa.Mkuu pole sana! Nakuona na great success km utaamua kurudi tena shamba!
Vipi tena panya walivamia mazao yako au?MSOWELO ni sehem nzuri ya kilimo.lakini kilichonipata nitarudi
Pole sana mkuu,ulivyosema msowero tu nikawaza suala la panyaNiliwai lima matikiti 2016 Simiyu(kilimo cha simu)vijana wakayatelekeza yakauka bila kumwagilia.Tukarudia mara ya pili miche ikasombwa na mafuriko.Nikasamehe kila kitu huko shamba sikufatlia tena..
Nikalima heka tatu za mahindi ya kuchoma.Nikapata vizuri (Msowelo)Akatokea mnunuzi anataka shamba zima kwa kila heka laki 8.Nikaona kama anataka kunilaghai nikagoma mana maindi yalikua mazuri sana na makubwa japo kulikua na changamoto ya panya na ngedere.Ukaidi wangu panya na ngedere wakashambulia na sikupata mnunuzi yakakaukia shamban mengine.Nikavuna nikapiga dawa nikisubiri bei ipande na haikupanda mpaka dawa ikaisha makali yakaanza kubunguliwa.mwisho nikaambulia 350k
Nikaamua kuhamia kwa vitunguu.Nikalima heka tatu.Nilipata vitunguu vya kutosha na vyenye afya.Likatokea jamaa linataka kunipa 15M kwa heka zote tatu.Katokea mshauri (shetani)na kilimo cha mahesabu ya pdf.Nikaona naweza piga zaidi ya 100M.Tamaa zikaniponza sikupata kitu.Baada ya kuvuna nimevihifadhi kwenye chanja kila siku tunavigeuza nikisubiria bei ipande. vingine vinaoza.Vingine vijana shamba wanaiba wanauza,vingine nabeba nyumbani.Kwa makadirio ya chanja gunia zilikua zaidi ya 150.Nikapata mtu wa 70k kila gunia nikagoma aongeze 10k akagoma akakimbia.
Bahati mbaya ikapiga mvua mbaya sana.Sasa vijana kumbe hawakulala shamba.Hata sijui walienda kunywa pombe ama walilala kwa wanawake.Kuna vilivyokuwa vimeanikwa chini vililoa chapa chapa,Chanja alikufunikwa pembeni na maturubai.mvua ilikua kubwa na ya upepo ukavunja na chanja vitunguu vyote vikaloa.Nilifika shamba nikachanganyikiwa.Toka niliondoka hapo sikuwai kurudi na sirudi tena shamba.
Nataka nijaribu ufugaji wa mbuzi ama kuku wa kienyeji nikipata mda.
Sikujui unijui kwanini nikunyweshe chai ya matango?Kiufupi una TAMAAAA...!! Na hujifunzi kwa makosa unayofanya kwenye maisha yako. Jifunze kuridhika kwa kile unachokipata usipige hesabu za mtandaoni ukaziiingiza kwenye maisha halisi. So kwa wewe usilaumu kilimo tafuta uzi wa watu wenye TAMAAA utakufaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hizi story zote ni za kweli. Maana na hisi kama ni chai mtu unaejielewa huwezi kufanya maamuzi ya kipuuzi mara 3.
Mkuu kuna mbinu moja hiyo ya soda hasa koka na Pepsi msukuma akigundua umefanya ivyo hapeleki ng'ombe hata karibu na shamba. Ni washenzi sana wanawaingiza wengi hasara.Mimi nililima mpunga heka kumi ukakubali kweli kweli shamba lilikua langu bwana bwana kukaa hivi napigiwa simu wasukuma wameingiza ng'ombe usiku wamekula shamba lote aisee nilidata. Alafu washenzi wale wamehonga polisi ukienda kushtaki unapigwa danadana tu nilitamani nikapige risasi ng'ombe wote. Morogoro iyo
Mkuu kuna mbinu moja hiyo ya soda hasa koka na Pepsi msukuma akigundua umefanya ivyo hapeleki ng'ombe hata karibu na shamba. Ni washenzi sana wanawaingiza wengi hasara.
Sijamuona hata mmoja aliyetoboa, wengi wanaolima mahindi/tikiti/tumbaku/korosho/pamba kila siku nawaona wanalia lia tu,labda wanapata hela ya kula tu lkn sio kua matajiri.
Mambo huanza hiviNimewahi kuwekezs kwenye kilimo cha ufuta mkoa wa Pwani ekari 10, nikaajiri wasimamizi tena wanakijiji wa pale. Kila weekend asubuhiii nipo shamba kucheck mradi kuanzia kupanda, palizi etc..... anyway to cut the story short yaliyotokea sikutaka hata kusimulia washkaji. Nlivuna gunia 12 tu sikuzibeba hata nkaziacha hapo hapo kijijini kwa mzee wa shamba nikasepa na sijawahi kurudi tena.
Kilimo ni full time job like any other job. Watu wa mjini tunakuwa na hype sana kwny stori ila uhalisia sio.
Hyonilikua miaka 6 au 7/nyuma..ss hb watu wana hyo elimu balaa.lima tikiti lako wakat wa masika au kiangazi kikali..ukifika sokon kuna gari km 30/hv..!hyo ilikia tecnic ya miaka ya jk.sio nw