Sijamuona hata mmoja aliyetoboa, wengi wanaolima mahindi/tikiti/tumbaku/korosho/pamba kila siku nawaona wanalia lia tu,labda wanapata hela ya kula tu lkn sio kua matajiri.
Nimekaa kusini sana mkuu korosho na ufuta unalipa san na watu wanatajirika ila ambao ni middlemen aka kangomba