Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hapa nakupinga; tuliwahi kulima tumbaku tukapata 20M ilikuwa kama 2013. Mwaka 2015 nililima mahindi na alizeti heka 25 zikanitoa pia . Baada ya kuona hivyo mwaka ukiifuata nikalima heka 50 hapo sikurudisha hata senti kosa lilikuwa ni usimamizi. Kwani nilienda shambani MaraSijamuona hata mmoja aliyetoboa, wengi wanaolima mahindi/tikiti/tumbaku/korosho/pamba kila siku nawaona wanalia lia tu,labda wanapata hela ya kula tu lkn sio kua matajiri.
Moja tu. Na hata nilipo ambiwa jua limepiga sana; sikuweza kwenda kuangalia. Kama ni kweli.
Hizo picha ni matokeo ya 2015