Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

Sijamuona hata mmoja aliyetoboa, wengi wanaolima mahindi/tikiti/tumbaku/korosho/pamba kila siku nawaona wanalia lia tu,labda wanapata hela ya kula tu lkn sio kua matajiri.
Hapa nakupinga; tuliwahi kulima tumbaku tukapata 20M ilikuwa kama 2013. Mwaka 2015 nililima mahindi na alizeti heka 25 zikanitoa pia . Baada ya kuona hivyo mwaka ukiifuata nikalima heka 50 hapo sikurudisha hata senti kosa lilikuwa ni usimamizi. Kwani nilienda shambani Mara
Moja tu. Na hata nilipo ambiwa jua limepiga sana; sikuweza kwenda kuangalia. Kama ni kweli.

Hizo picha ni matokeo ya 2015
20160514_171957.jpeg
20160331_122613.jpeg
20160513_123751.jpeg
 
Hapa nakupinga; tuliwahi kulima tumbaku tukapata 20M ilikuwa kama 2013. Mwaka 2015 nililima mahindi na alizeti heka 25 zikanitoa pia . Baada ya kuona hivyo mwaka ukiifuata nikalima heka 50 hapo sikurudisha hata senti kosa lilikuwa ni usimamizi. Kwani nilienda shambani Mara
Moja tu. Na hata nilipo ambiwa jua limepiga sana; sikuweza kwenda kuangalia. Kama ni kweli.

Hizo picha ni matokeo ya 2015View attachment 1242556View attachment 1242557View attachment 1242558
Hongera sana mkuu,kazi nzuri sana hio.

Bahati mbaya mimi watu wote ninaowajua/wanaonizunguka wanaojishughulisha na mambo ya kilimo sijawahi kumuona aliyetoboa hata mmoja mkuu.
 
Mimi nililima mpunga heka kumi ukakubali kweli kweli shamba lilikua langu bwana bwana kukaa hivi napigiwa simu wasukuma wameingiza ng'ombe usiku wamekula shamba lote aisee nilidata. Alafu washenzi wale wamehonga polisi ukienda kushtaki unapigwa danadana tu nilitamani nikapige risasi ng'ombe wote. Morogoro iyo
Kilimo kina changamoto nyingi sana ambazo huwa hazisemwi nà wala huwezi kuziona lkn hujitokeza tu ghafla.
 
Mzee muhindi mmoja kuuza 120 mbona ilikuwa bei fair kabisa? Ulitaka uuze sh ngapi sasa 300? Ingekuwa hasara kwake
Na pia hiyo 120 ungepata faida nzuri tu kuliko kusubiri yakomae, yakauke, upukuchue uuze kwa kilo,
Huo muhindi wa 120 ukikauka ukipukuchua utauza kwa bei ndogo zaidi
Huyu jamaa hajafikiria vizuri. Mfanyabiashara anayechukulia shambani ana gharama za usafirishaji, halafu mchomaji wa mahindi ana gharama za mkaa, chumvi, pilipili, limao n.k. Muhindi kuuzwa sh.500 sokoni ni mchanganyiko wa vitu vingi. Kifupi mnyororo wa thamani ni mgawanyo wa faida baina ya wadau wote wanaohusika.

Mkuu bora angeuza kwa muuindi 1 kwa sh 120, maana hana hakika ya kuuza mahindi yaliyopukusuliwa toka kwenye gunzi moja kwa sh.120
 
kwa hyo kupanda tu milima ukaachia fursa aaah ulikwama madam....afu provided that soko n uhakka....npe location nikalime chap (ila huko miliman kuwe na intanet mana siwez lima bila JAMII FORUM[emoji23])

Hahhaa..umefeli...umefeli kbs!changamoto ni nyingi sn...
 
Huyu jamaa hajafikiria vizuri. Mfanyabiashara anayechukulia shambani ana gharama za usafirishaji, halafu mchomaji wa mahindi ana gharama za mkaa, chumvi, pilipili, limao n.k. Muhindi kuuzwa sh.500 sokoni ni mchanganyiko wa vitu vingi. Kifupi mnyororo wa thamani ni mgawanyo wa faida baina ya wadau wote wanaohusika.

Mkuu bora angeuza kwa muuindi 1 kwa sh 120, maana hana hakika ya kuuza mahindi yaliyopukusuliwa toka kwenye gunzi moja kwa sh.120
Daah huu utaratibu wa mahindi ya kuchoma kuliwa na chumvi,pilipili na limao niliuona kwa wanaume wa huku dar aisee.

Wanaume wa mkoani hatujui hio kitu kabisa.
 
Naona ujanielewa ,sokoni bila ubunifu utaishia Julia hivyo hivyo,wakati umefika mjini unahangaika na masoko,hayo matikiti ungetafuta sehemu kama tatu zilizochangamka,unauza moja moja,ata kama mtu anataka kipandebl anapewa,ndani ya wiki mzigo ungekua umekwisha ,ungekua na ela nzuri Sana,ndo maana madalali walikupiga kote kote,inaonekana market strategy Hun kabisa,zero
Wazee wa kamatia fursaa 😂😂😂😂hii inaitwa iga ufe.
 
Nililima korosho zamani Sasa hv kila mwaka navuna isipokuwa mavuno yantegemea km mwaka huu sijapata kitu, maua yameungua, mpk sasa nimeokota gunia moja katika eka tano, mwaka Jana tulilipwa kwa shida sana. Ila muda mwingine Mambo yanakuwa mazuri sana kilimo ni kamali.

Sasa hivi najipanga nijilipue kwenye kilimo Cha nazi .
 
Huyu jamaa hajafikiria vizuri. Mfanyabiashara anayechukulia shambani ana gharama za usafirishaji, halafu mchomaji wa mahindi ana gharama za mkaa, chumvi, pilipili, limao n.k. Muhindi kuuzwa sh.500 sokoni ni mchanganyiko wa vitu vingi. Kifupi mnyororo wa thamani ni mgawanyo wa faida baina ya wadau wote wanaohusika.

Mkuu bora angeuza kwa muuindi 1 kwa sh 120, maana hana hakika ya kuuza mahindi yaliyopukusuliwa toka kwenye gunzi moja kwa sh.120
Exactly, halafu pia kuyaacha hadi yakomae na kukauka bado utatumia muda mwingi zaidi, muda ni rasilimali ya muhimu sana, so umeongeza gharama, halafu licha ya hapo kuna risk ya wezi, kuharibiwa na wadudu, kupukuchua, kuyakausha, na kuyahifadhi na hata kusafirisha tena na bado ukauza bei ya chini zaidi
Mchomaji licha ya gharama ulizotaja, pia anatumia muda mwingi kuchoma na kuuza, hii ni gharama moja kubwa ambayo watu hawaiangalii
So yeye kununua kwa 120 ni reasonable kabisa ukilinganisha na resource atakazotumia ili kuuza huo mhindi kwa 500
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna jamaa yangu aliishawai kuzikimbia fuso mbili za tikiti sokoni akawaachia msala wenye fuso manake hata hela ya kufikishia pale sokoni isingetosha alafu yakaanza kupasuka
 
Back
Top Bottom