Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

Kilimo na Ufugaji ni vitu ambavyo nitavikwepa daily. Bora kuwa mtu wa kati hapo faida lazima uipate tu.
Kilimo cha bangi hakiwezi kukuangusha
Kama kulima ntalima na bangi,najua siwezi pata hasara
 
Mtu katua na fuso Dodoma unamshauri eti awe mbunifu afungue goli auze kwa kukata kata vipande hizo si ndo fursa za makaratasi hahahaha
Naona ujanielewa ,sokoni bila ubunifu utaishia Julia hivyo hivyo,wakati umefika mjini unahangaika na masoko,hayo matikiti ungetafuta sehemu kama tatu zilizochangamka,unauza moja moja,ata kama mtu anataka kipandebl anapewa,ndani ya wiki mzigo ungekua umekwisha ,ungekua na ela nzuri Sana,ndo maana madalali walikupiga kote kote,inaonekana market strategy Hun kabisa,zero
 
Mtu katua na fuso Dodoma unamshauri eti awe mbunifu afungue goli auze kwa kukata kata vipande hizo si ndo fursa za makaratasi hahahaha
Ukiwa na ilo fuso lako la tikiti tena,niambie ,sitaitaji ata kumi yako,ntakuonyesha namna ya kuuza,maana ishu za masoko zinakupiga chenga,huwezi ukatujua Kula kitu ndo maana watu wanaajiri marker manager
 
Inaonekana walidukua mpunga wako,wenyeji.
 
Hongeraa kwa kuipenda familia
 
Uhalisia upo hivi
1. Kila siku sokon yanaingia matikiti mapya na kadri siku zinavyoenda yako yanaanza kupoteza ubora
2. Wafanyabiashara wana network na madalali pamoja na walanguzi wa mitaani kuna wakati wale wa mitaani wanakopeshwa hawanunui cash. Kwa sababu ya network yako hiyo mtaani walanguzi wanaweka mgomo barid kuchukua matikit yako
3. Kuzunguka wiki nzima unatafuta wateja wa reja reja ndani ya wiki hiyo kule shamba kunahitaji kupigwa dawa kumwagiliwa na pia kuchumwa mengine
4. Gharama za kukaa Dodoma wiki, gharama za gari na kijana wa kukusaidia kupiga debe plus kitambulisho cha mjasiliamali.

Ingia field uonje utamu wake
 
Cc manengelo
 
Hahaaaa..ngoja nicheke tu..mwezi wa8 nililima bamia kama heka na nusu..nimezipiga vzr tu..msimu wa mavuno umefika...siku napeleka mzigo sokoni nikakutana na bamia zimeteremshwa kama mvua kipindi cha nuhu..bei iko chini..yani nilitamani niutelekeze mzingo..ila sikua na jinsi nikauza hivyo hivyo kwa hasara..

Nimevuna kama mara mbili..imebidi nmeachie dogo avune atafute hata hela ya kujikimu akisubiri vyuo vifunguliwe..

Kimsingi kilimo kina changamoto sana..kama sio shambani basi sokoni.

Ila siachi kulima..nmekodi shamba heka 10 najipanga kulima ufuta na alizeti.

GOD IS GOOD.
 
Hakuna aliyefanikiwa kwa kilimo cha cm make sure 90% ya muda wako upo shamba na ujikane na anasa zote za dunia. Inafikia kipindi hata kwenda shamban ukiwa umebeba mkononi maji ya kunywa makubwa unaonekana kama unafanya anasa hahahaha
unalima kibishoo
 
yani nilitamani niutelekeze mzingo..ila sikua na jinsi nikauza hivyo hivyo kwa hasara..
😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Ufuta mvua zikienda vizuri unatoka ingawa nalo wakati flani soko linazingua Ila alizeti uhakika
 
Hapo mwisho ndio msumari ulipo. Madalali wa kibongo ni hovyo kabisa halafu wanajifanyaga kama hawana shida na madharau kibao pindi wanapokagua bidhaa ya mkulima. Ipo siku mimi itatwanga mtu makofi mbele ya polisi.
 
[emoji38][emoji38]aseeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…