Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The guy is very clever on writing speech.Aliongeza na chumviAliyepataga faida kubwa kwenye kilimo ni Sir Jeff aka Ontario! Nakumbuka alipiga 39M Kwa msimu mmoja na alikuwa anafanya kuwalimia watu!
Yaliyomkuta sasa!!!!
Ukiweka gharama za ww kwenda Na kurudi pamoja na Chakula hakuna faidaKuna mwaka niliweka ndani KARANGA maeneo ya Mpwapwa, niliwekeza 5m! Baada ya miezi 8, nakuja kuiProcess na kuuza! Kutoa gharama zote ikiwemo wabebaji, ushuru wa gate, transport! Shabash! Nlipata faida 350k na mind you storage ilikuwa bure! Km ningelipia storage manake ningeliwa!
Government naona sasa imeshaanza kuamka kidogo:-
"Kuna malalamiko huko Watu wanasema mbona bei ya unga imepanda hamtengenezi bei elekezi, unatengenezaje bei elekezi wakati alipokuwa analima hakuna aliyekwenda?, hatupangi bei elekezi, ukiona mahindi yamepanda bei kanunue mchele, huwezi basi usile"-HASUNGA http://
Kiukweli kaka serikali imewatia wakulima wengi kwenye wimbi kubwa la umaskin kwa habari za bei elekezi kumjali mlaji pasipo kujali gharama alizotumia mkulima pamoja na mateso ya shambani,ni vyema sasa mkulima akawa na haki ya kujipangia bei anayoona inafaa kwendana na gharama zake alizotumia pamoja na faida ambavyo soko huru litaamua na siyo serikali;serikali isaidie pembejeo,miundombinu nk. na kuweka minimum price sokoni na siyo kutuwekea maximum priceMwingine aliwahi kusema kama hauna nauli ya kupanda pantoni piga mbizi.
Kiukweli kaka serikali imewatia wakulima wengi kwenye wimbi kubwa la umaskin kwa habari za bei elekezi kumjali mlaji pasipo kujali gharama alizotumia mkulima pamoja na mateso ya shambani,ni vyema sasa mkulima akawa na haki ya kujipangia bei anayoona inafaa kwendana na gharama zake alizotumia pamoja na faida ambavyo soko huru litaamua na siyo serikali;serikali isaidie pembejeo,miundombinu nk. na kuweka minimum price sokoni na siyo kutuwekea maximum price
Ila ndugu habari yako sijaikubali haileti mashiko kwangu, mimi ni mkulima miaka sita mfululizo, ni kweli kuna hasara huwa inapatikana kwenye kilimo ila sio kwa kiwango hicho unachokizungumzia kiasi kwamba unakatisha watu tamaa ya kupambana na maisha unless hilo ndio lengo lako kukwamisha watu kupambana.Naanza kwa kutoa experience yangu.
Niliingia kwenye kilimo baada ya kushawishika na vipindi vya Clouds Media kuhusiana na fursa. Presenters walishawishi sana kuwa vijana hatujitumi na hatutumii brain zetu vizuri.
Nikajitosa kwenye kilimo cha tikiti Migoli Iringa na milioni zangu 2. Nikaingia front mwenyewe sikutaka kilimo cha simu. Nilikutana na changamoto katika kulima nikapambana nazo nilikuwa nalala shamba kwenye vibanda vya nyasi, vibarua wanazingua balaa na changamoto ya madawa. Baadae nikafanikiwa kuvuna na yalikubali sana.
Mziki ukaja kwenye soko sasa. Unatoka mjini na mfanyabiashara kuja shamba kununua mzigo, mjini umeacha bei ya tikiti 1 ni elfu 4. Mfanyabiashara shamba anataka kununua tikiti 1 sh 500, nikaamua kwenda nayo mwenyewe sokoni Dodoma. Kufika pale, dah! washaambizana wafanyabiashara wao hawanunui direct kutoka kwa mkulima; wananunua kupitia madalali, ikanibidi niwakabidhi madalali mzigo. Hapo nilichoka nilirudi nyumbani na laki 4.
Nikaingia kwenye kilimo cha vitunguu Ruaha Mbuyuni. Nikapambana nacho; jani lilikubali balaa kila siku nikawa napiga picha narusha social media. Wakati wa kuvuna kuja kuchimba chini chenga tu nikaishia kuuza reja reja nikatoka na laki 7.
Nikaja kulima mahindi ya kuchoma maarufu kama Gobo. Nilipambana nayo mpaka mwisho kwenye soko tena changamoto. Mfanyabiashara anakuja kuchagua mahindi shamba anataka kununua muhindi mmoja kwa sh 120 ilihali mjini muhindi mmoja sh 500, nikaghairi kuuza nikasubiri yakauke bahati nzuri bei ya mahindi nzuri.
My take: Katika kilimo madalali na wafanyabiashara ndiyo wanaonufaika sana kuliko wakulima.
Hapa nakubaliana na wewe 100%Hata hiyo ya kununua mazao usiingie kwa pupa anza taratibu ikiwa kama sehem ya kujifunza. Mkiambiwaga kua gunia moja unapata faida elf 50 basi kwa tamaa mtu anatupia million 10 ili apige 30. Kuna changamoto ya kuuziwa mpunga ambao sokon hauna wateja ukaja baki Na mzigo stoo au ukauza kwa hasara
Ila ndugu habari yako sijaikubali haileti mashiko kwangu, mimi ni mkulima miaka sita mfululizo, ni kweli kuna hasara huwa inapatikana kwenye kilimo ila sio kwa kiwango hicho unachokizungumzia kiasi kwamba unakatisha watu tamaa ya kupambana na maisha unless hilo ndio lengo lako kukwamisha watu kupambana.
Kilimo kina hasara na hasara take huja kwa Maana ya kupishana na malengo tunayo jiwekea hasa ikiwa tumehamasika kulima kupitia social media na tukaamua kuanza kilimo bila kujua uhalisia was ABC zilizopo kwenye kilimo.
Halafu jua kuwa Roma haikujengwa kwa siku moja/mafanikio hayawezi kuja ndani ya misimu miwili mitatu ya kulima, uvumilivu ndio nguzo ya kilimo.
Usikate tamaa hata mimi mwaka Jana sikuvuna mahindi vizuri ila nilipata chakula na mpaka sasa bei ya mahindi imepanda mi nachekelea tu maana ni stock ya kula miaka 2 na mpunga ninao sisi wa kanda ya kati bado tuna butter trade kipindi cha mavuno nilibadilisha mpunga gunia kwa gunia nikaweka gunia zangu kumi Niko dar huwa napiga Simu tu home pakia debe mbili zinakuja wakati wengine wanamlaumu mangi kupandisha bei ya mchele na unga Mimi kimyaaaMwaka jana nimelima eka tatu za mpunga, mnvua ikagoma mwanzoni ikaja mwishoni, nikapata matumaini, ulivoanza kukauka ikanyesha mvua ya mawe,ikapukutisha wote uliokuwa umekauka.
Niliambulia gunia 13, sijaziuza nasubiri bei ipande
Sijakata tamaa, mwaka huu nalima tena. Mungu atie baraka zake
Mchele mzuri wa MAGUGU ila uchakachuaji umekithiroKunaitwa NDUNGU mkuu unaingilia hapa mombo nimefika kote kule hadi gonja ila nimeuliza nimeambiwa ule mchele sio mtam kama wa kyela na ifakara ni mbegu za kijapan
Duh! Tutafika kweliGovernment naona sasa imeshaanza kuamka kidogo:-
"Kuna malalamiko huko Watu wanasema mbona bei ya unga imepanda hamtengenezi bei elekezi, unatengenezaje bei elekezi wakati alipokuwa analima hakuna aliyekwenda?, hatupangi bei elekezi, ukiona mahindi yamepanda bei kanunue mchele, huwezi basi usile"-HASUNGA http://
Same sehemu gani...tuambie zaidi, je wewe umefanya au unamfahamu mtu alie au anaefanya na matokeo yake ...Nendeni Same kuna kilimo cha mpunga cha umwagiliaji uhakika wa mazao mkubwa na mpunga hauharibiki unaweka stoo unasubiria bei ipande
Kunaitwa ndungu unaingilia mombo kama unaenda moshi unaingie upande wa kuliasame sehemu gani...tuambie zaidi, je wewe umefanya au unamfahamu mtu alie au anaefanya na matokeo yake ...
Milioni 28 zilirudi ngapi?Mimi niliwekeza mkuranga kama 28 mil nikachimba Visima nk, Nikaweka Wafanyakazi wawili, Siku ya kwanza tukapanda Embe ekari nane, asubuhi miche yote imeibiwa ! Niliagiza miche SUA kila mche elfu 3... Roho iliuma hatari..
Nilisikitika mno, nikaanza mboga mboga, mpunga, basi bwana si nikaanza kilimo cha simu, sikuambulia hata shilingi moja ! Nikastop...
Nikahamia kwa broilers, île nataka kuwatoa soko likaharibika hata tuliyekubaliana awe anachukua akashindwa maana naye alikua anapeleka mahala, nikafanya batch nne nikaona sasa huu Msala... Nikastop...
Ila sasa Nimerudi tena kivingine, Nimepata mikataba ya broilers tumesaini ndo nimeanza, nitakua natoa broilers elfu moja kila Wiki, nilichojifunza Ni kutokukata tamaa na kufanyia kazi zile changamoto zilizokukuta, usiache.. Jitafakari anza tena !
Hiyo ndo safiMimi nilishapigwa na kilimo kwasasa sina ham nacho kabisa,ninachokifanya nachukua mazao kwa mkulima then nayaweka store bei ikipanda nauza.
Yapi yaliyomkuta mkuuAliyepataga faida kubwa kwenye kilimo ni Sir Jeff aka Ontario! Nakumbuka alipiga 39M Kwa msimu mmoja na alikuwa anafanya kuwalimia watu!
Yaliyomkuta sasa!!!!