[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta ankari jeshi amevaa gam boot eti ndiyo viatu vya jeshi ukiwa kijijini kama unaenda Likasi unakuta mwanajeshi amechomoa singe ya bunduki anachimba viazi kwenye shamba la mtu
Mkuu,sijaelewa chochote,huu ni wimbo au ni hadithi?Watanshi kichaa kafa kwa mafuriko maji yamemleta mpaka chuma yangu ilikokwama naamka asubuhi askari anataka kodi/tozo/rushwa tena anataka dolaz
Mkoba kaingiza dem kwenye cabin kang'ang'ania hashuki na askari wanataka kodi/tozo/rushwa
Posho iliisha tukaanza kupiga nyoka mafuta kule ni dhahabu. Hapo bado kidogo mayimayi watudake misituni wakushikishe ukuta. kolwezi Fungarama Lualaba Likasi njia ya wababe
Acha dharau Gan boot zinavaliwa kwakuwa mazingira ya kule misitu mingi kuna maji sana.sikatai na unaweza kuvaa Gan boot hata wiki hujaivua usiku na mchanaUnakuta ankari jeshi amevaa gam boot eti ndiyo viatu vya jeshi ukiwa kijijini kama unaenda Likasi unakuta mwanajeshi amechomoa singe ya bunduki anachimba viazi kwenye shamba la mtu
gumboots (sio gun boot)... mkuu naweka record sawa tu, usijaliAcha dharau Gan boot zinavaliwa kwakuwa mazingira ya kule misitu mingi kuna maji sana.sikatai na unaweza kuvaa Gan boot hata wiki hujaivua usiku na mchana
lugha gani hii?Watanshi kichaa kafa kwa mafuriko maji yamemleta mpaka chuma yangu ilikokwama naamka asubuhi askari anataka kodi/tozo/rushwa tena anataka dolaz
Mkoba kaingiza dem kwenye cabin kang'ang'ania hashuki na askari wanataka kodi/tozo/rushwa
Posho iliisha tukaanza kupiga nyoka mafuta kule ni dhahabu. Hapo bado kidogo mayimayi watudake misituni wakushikishe ukuta. kolwezi Fungarama Lualaba Likasi njia ya wababe
Nilikuwa Lubumbashi na Kinshasa kwa vipindi tofauti. Ukiwa Lubumbashi maisha ni magumu sana japo mji umezungukwa na migodi, hali ya umaskini ni kubwa mno yaani Dar es Salaam unaweza ukadhani ni Ulaya kwa wakazi wa huko.
Ila Kinshasa ni mji mzuri na unaweza tembelea baadhi ya maeneo ukadhani ni Ulaya. Maisha bado ni magumu japo hauwezi linganisha na Lubumbashi hali ni mbaya zaidi.
Mji wa Kinshasa una shughuli nyingi sana za kiuchumi na product zao ni nzuri. Mengine siwezi kusema zaidi kwani nilikuwa bizi na kazi zangu.
CC mitale na midimu nzugu nkoyi aha ubhone hado
Kuna ukweli wowote kuwa north kivu kuna dhahabu za kutoshaa....nshawahi sikia beni kuna soko la dhahab watu wanauza kwny vikombe,ila vita yake ya huko ni hatari....hasa sehemu za machimboNilikuwa Lubumbashi na Kinshasa kwa vipindi tofauti. Ukiwa Lubumbashi maisha ni magumu sana japo mji umezungukwa na migodi, hali ya umaskini ni kubwa mno yaani Dar es Salaam unaweza ukadhani ni Ulaya kwa wakazi wa huko.