Tulioishi au kufika DR Congo , Goma, Bukavu, Lubumbashi, nk tukutane hapa

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,734
Bandeko , wale tulioishi DR Congo tukutane hapa , pia eleza maeneo uliyofika/ishi. nitaaza mimi, Nimeishi Goma, nikafika Beni, Butembo, Mbuyimayi, Uvira, Kirumba, Kayina, Rubero Bukavu na Kinsasha ( KIN) pale Gombe. Maisha ya DR Congo yana tamu na chungu, ila ila kiukweli Congo kuzuri sana. Natamani hata leo nirudi huko
 
Tumepeni uhalisia wa maisha ya huko DRC...,mm nimiongoni mwa watu wanaotegemea kuja pande hzo miaka ijayo!
 
mkuu uhalisia wa maisha huko ukoje.
kuna offer ya kutembelea huko kama wiki tatu lkn nasita,
 
Nilikuwa Lubumbashi na Kinshasa kwa vipindi tofauti. Ukiwa Lubumbashi maisha ni magumu sana japo mji umezungukwa na migodi, hali ya umaskini ni kubwa mno yaani Dar es Salaam unaweza ukadhani ni Ulaya kwa wakazi wa huko.

Ila Kinshasa ni mji mzuri na unaweza tembelea baadhi ya maeneo ukadhani ni Ulaya. Maisha bado ni magumu japo hauwezi linganisha na Lubumbashi hali ni mbaya zaidi.

Mji wa Kinshasa una shughuli nyingi sana za kiuchumi na product zao ni nzuri. Mengine siwezi kusema zaidi kwani nilikuwa bizi na kazi zangu.

CC mitale na midimu nzugu nkoyi aha ubhone hado
 
Uvira japo sikupata muda wa kutembea na sikupata experience ya maisha ya pale
 
Tupeane fursa za huko basi na siyo kusifia majengo tu
 
Unakuta ankari jeshi amevaa gam boot eti ndiyo viatu vya jeshi ukiwa kijijini kama unaenda Likasi unakuta mwanajeshi amechomoa singe ya bunduki anachimba viazi kwenye shamba la mtu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mleta mada hujaweka mambo ya maana ya kumsaidia mtu anayetaka kwenda huko kwa matembezi au utafutaji
 
Mmeshaomba kibali huko cha kufanya yetu 26.4?
 
Watanshi kichaa kafa kwa mafuriko maji yamemleta mpaka chuma yangu ilikokwama naamka asubuhi askari anataka kodi/tozo/rushwa tena anataka dolaz

Mkoba kaingiza dem kwenye cabin kang'ang'ania hashuki na askari wanataka kodi/tozo/rushwa

Posho iliisha tukaanza kupiga nyoka mafuta kule ni dhahabu. Hapo bado kidogo mayimayi watudake misituni wakushikishe ukuta. kolwezi Fungarama Lualaba Likasi njia ya wababe
 
Mkuu,sijaelewa chochote,huu ni wimbo au ni hadithi?
 
Unakuta ankari jeshi amevaa gam boot eti ndiyo viatu vya jeshi ukiwa kijijini kama unaenda Likasi unakuta mwanajeshi amechomoa singe ya bunduki anachimba viazi kwenye shamba la mtu
Acha dharau Gan boot zinavaliwa kwakuwa mazingira ya kule misitu mingi kuna maji sana.sikatai na unaweza kuvaa Gan boot hata wiki hujaivua usiku na mchana
 
Nimeishi Moba, kalemii, uvira, manono, Kasai, Mwanza,
 
mkuu
Watanshi kichaa kafa kwa mafuriko maji yamemleta mpaka chuma yangu ilikokwama naamka asubuhi askari anataka kodi/tozo/rushwa tena anataka dolaz

Mkoba kaingiza dem kwenye cabin kang'ang'ania hashuki na askari wanataka kodi/tozo/rushwa

Posho iliisha tukaanza kupiga nyoka mafuta kule ni dhahabu. Hapo bado kidogo mayimayi watudake misituni wakushikishe ukuta. kolwezi Fungarama Lualaba Likasi njia ya wababe
lugha gani hii?
 
Goma kuna huyu mtu anajiita Mungu roho mtakatifu na waumini wake humwita baba wa Ubembe ana wafuasi huwezi amini.Kabila ana kazi kuna mabwana wa vita,miungu nk na yote ina wafuasi

Nilikuwa Lubumbashi na Kinshasa kwa vipindi tofauti. Ukiwa Lubumbashi maisha ni magumu sana japo mji umezungukwa na migodi, hali ya umaskini ni kubwa mno yaani Dar es Salaam unaweza ukadhani ni Ulaya kwa wakazi wa huko.

Ila Kinshasa ni mji mzuri na unaweza tembelea baadhi ya maeneo ukadhani ni Ulaya. Maisha bado ni magumu japo hauwezi linganisha na Lubumbashi hali ni mbaya zaidi.

Mji wa Kinshasa una shughuli nyingi sana za kiuchumi na product zao ni nzuri. Mengine siwezi kusema zaidi kwani nilikuwa bizi na kazi zangu.

CC mitale na midimu nzugu nkoyi aha ubhone hado
Nilikuwa Lubumbashi na Kinshasa kwa vipindi tofauti. Ukiwa Lubumbashi maisha ni magumu sana japo mji umezungukwa na migodi, hali ya umaskini ni kubwa mno yaani Dar es Salaam unaweza ukadhani ni Ulaya kwa wakazi wa huko.

Ila Kinshasa ni mji mzuri na unaweza tembelea baadhi ya maeneo ukadhani ni Ulaya. Maisha bado ni magumu japo hauwezi linganisha na Lubumbashi hali ni mbaya zaidi.

Mji wa Kinshasa una shughuli nyingi sana za kiuchumi na product zao ni nzuri. Mengine siwezi kusema zaidi kwani nilikuwa bizi na kazi zangu.

CC mitale na midimu nzugu nkoyi aha ubhone hado
Kuna ukweli wowote kuwa north kivu kuna dhahabu za kutoshaa....nshawahi sikia beni kuna soko la dhahab watu wanauza kwny vikombe,ila vita yake ya huko ni hatari....hasa sehemu za machimbo
 
Back
Top Bottom