msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,734
Bandeko , wale tulioishi DR Congo tukutane hapa , pia eleza maeneo uliyofika/ishi. nitaaza mimi, Nimeishi Goma, nikafika Beni, Butembo, Mbuyimayi, Uvira, Kirumba, Kayina, Rubero Bukavu na Kinsasha ( KIN) pale Gombe. Maisha ya DR Congo yana tamu na chungu, ila ila kiukweli Congo kuzuri sana. Natamani hata leo nirudi huko