Chuo kikuu raha sana. [emoji23][emoji23][emoji23]Nawatamani sana watu waliofika chuo na vingereza uchwara vyao..
Ze zee zee laifuu and u know nyiiingii
Raha yake boom etiii?Chuo kikuu raha sana. [emoji23][emoji23][emoji23]
ahahaha aisee hapa hapa!Mkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
kweli kabisa, ili aonekane msomi lazima aongee kiingereza kidogo, Nimekupata Chief MondrayNawatamani sana watu waliofika chuo na vingereza uchwara vyao..
Ze zee zee laifuu and u know nyiiingii
Wengine hatukufika hukoKama uliferi form two gonga like twende sawa, yote maisha. Maisha bora sio kwa wasomi tu..
Sawa Dotworldkweli kabisa, ili aonekane msomi lazima aongee kiingereza kidogo, Nimekupata Chief Mondray
Dogo upoSawa Dotworld
Mimi la tatu tuKama uliferi form two gonga like twende sawa, yote maisha. Maisha bora sio kwa wasomi tu..
Nasisi wenye Phd zetu tunaruhusiwa hata kufungua uzi huu?Mkuu sisi tulioishia chuo kikuu comment zetu tunaandika wapi?
Au tuzichanganye na zenu tuu??
Nipo mkuu. Naona upo kama haupoDogo upo
Hapana nyie Luna forum yenu ya EnglishNasisi wenye Phd zetu tunaruhusiwa hata kufungua uzi huu?
Kweli usimavyo wewe mtu hatari sanaNipo mkuu. Naona upo kama haupo
Boom kitu gani ? Raha tuu kusoma chuo kikuu.Raha yake boom etiii?