Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Ctech

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
754
Reaction score
818
Si kila mmoja wetu amefanikiwa kufikia level kubwa ya Elimu wengine tuliishia Shule ya Msingi!

Binafsi mimi Nimeishia darasa la 5, baada ya kujikuta sipendi shule wala kusoma.. nikaona haina umuhimu.. Nikaamua Kujiunga na Veta na Maisha yanasonga!

Vipi wewe umekutana na hali kama hii ukaamua kuishia S/Msingi? na unafanya nini sasa!

Santana
 
Back
Top Bottom